Komando kipen
Member
- Jul 13, 2021
- 49
- 36
Hipi nikozi nzuri kati ya hizi mbili biomedical science na Biotechnology mwenye uzohefu na hizi course au kamakunamtu anasoma course mojawapo nisaidie number.
Sijakuelewa!!Boichemistry chuo gan?
Chuo Gani Kinatoa Hiyo CourseSijakuelewa!!
yan JF sihamii😅😅😂😂😂mmmh huu uandishi na hizo course
Biochemistry inatolewa UDSM na Biomedicine inatolewa Mbeya University tawi la UDSMbichemistry umeipata chuo gan?
Nmecheka acha tummmh huu uandishi na hizo course
Unachokiongea HakipoBiochemistry inatolewa UDSM na Biomedicine inatolewa Mbeya University tawi la UDSM
Biotechnology inatolewa UDSM na Biomedicine inatolewa Mbeya University tawi la UDSM
Nilikuana akilii za usingizi nilimaanisha Biotechnology na BiomedicineUnachokiongea Hakipo
Nilimaanisha biotechnology.Boichemistry chuo gan?
Kwa upande wa bachelor degree ipo sua kwa upande wa masters ipo muhas, cuhas na vyuo vingine vya afyaBoichemistry chuo gan?
Sua hamnaKwa upande wa bachelor degree ipo sua kwa upande wa masters ipo muhas, cuhas na vyuo vingine vya afya