Pepsi shida ipo wapi?

Kuna sheria ipo inakulinda, kama customers , unapokuta defective products, unaweza kwenda mahakamani ku claim, and company will be liable for the compasation.

Sema ndio hivyo, tu, mostly of us weren't takes seriously these kind of stuff
Ni kweli Kabisa, unaishtaki kampuni kwa usumbufu uliopata eitha tumbo kuuma nk.
Na unalipwa hela nyingi tu
 
Sasa mkuu hapo hata uende mahakamani, huwezi kushinda hiyo kesi wakati chupa imeshafunguliwa!!! Kutakuwa na uhakika gani kuwa huo uchafu umetoka kiwandani? Kesi kama hizo miaka ya 2000,zilikuwa nyingi sana, lakini ilikuja kubainika kuwa ilikuwa ni hujuma za kibiashara tu!!!
Inakuwa ni Kesi pale ambapo soda imefunguliwa na umeshainywa kabla ya hapo hamna hamna Kesi waweza rudishiwa pesa yako
 
Inakuwa ni Kesi pale ambapo soda imefunguliwa na umeshainywa kabla ya hapo hamna hamna Kesi waweza rudishiwa pesa yako
Kuwa kesi, na kushinda hiyo kesi ni vitu viwili tofauti, tatizo ni kushinda hiyo kesi mahakamani, itakuwia ngumu, mifano ipo mingi tu hapa TZ, lakini hakuna hata mlalamikaji mmoja alishawahi kushinda, tatizo ni kuishawishi mahakama kuwa ni kosa hilo ni la kiwandani,
 
Bora wewe tope, nishawahi kunywa mirinda nyeusi ile nakaribia kumaliza tu nachk chin naona mende amejifia zake aisee nusu nitapike.

Ungeenda ku claim, ungekula mpunga wa kutosha, hiyo kesi unakomaa nayo, kindaki ndaki.. unakula bingo
 
Kuwa kesi, na kushinda hiyo kesi ni vitu viwili tofauti, tatizo ni kushinda hiyo kesi mahakamani, itakuwia ngumu, mifano ipo mingi tu hapa TZ, lakini hakuna hata mlalamikaji mmoja alishawahi kushinda, tatizo ni kuishawishi mahakama kuwa ni kosa hilo ni la kiwandani,

Hii ndio changamoto moto, ila ikibainika ni kiwanda, hiyo kesi umeshinda..
 
Kuna siku nilikutana na utando mweupe mweupe ndani ya soda chini Yani sijawai kukaguaga soda lakini siku hiyoo nikaangalia.

Nikasema kummanyoko sitakaa ninywe soda Tena saivi nakunywa mabia mambege juice na maji.

Pepsi ndo mlinifanya niache kunywa soda.
 
mi si mnywaji sana wa soda ila naona miaka inavozidi kwenda bora wangeachana na hizi chupa za hivi.
 
Kuna siku nilikutana na utando mweupe mweupe ndani ya soda chini Yani sijawai kukaguaga soda lakini siku hiyoo nikaangalia.

Nikasema kummanyoko sitakaa ninywe soda Tena saivi nakunywa mabia mambege juice na maji.

Pepsi ndo mlinifanya niache kunywa soda.
Umenikumbusha mbege, hata kama wanaponda zile ndizi kwa miguu lakini product ya mwisho ni salama kabisa.
 
Sidhani kama ni shida ya kampuni ya Pepsi mkuu, uwezekano mkubwa ni tatizo la Mangi alikuuzia soda eidha wakati anazihamisha kulikuwa na mvua au uhifadhi mbaya, ukikuta tope ndani wawashie moto.
Mimi nilikuta wembe ndani ya chupa.
 
Back
Top Bottom