Pepsi shida ipo wapi?

Sasa mkuu hapo hata uende mahakamani, huwezi kushinda hiyo kesi wakati chupa imeshafunguliwa!!! Kutakuwa na uhakika gani kuwa huo uchafu umetoka kiwandani? Kesi kama hizo miaka ya 2000,zilikuwa nyingi sana, lakini ilikuja kubainika kuwa ilikuwa ni hujuma za kibiashara tu!!!

Tuache hiyo ya case ya chupa , maybe naweza kushindwa au kushinda.

Ila kwa ujumla, unapokuta defective products, umeitumia na ime ku affects , una haki ya kisheria ku claim, na ikija kuwa ni kweli ulithilika na hiyo product, you will be indemnified
 
.View attachment 1554394View attachment 1554395
JamiiForums517946795.jpg
 
Tuache hiyo ya case ya chupa , maybe naweza kushindwa au kushinda.

Ila kwa ujumla, unapokuta defective products, umeitumia na ime ku affects , una haki ya kisheria ku claim, na ikija kuwa ni kweli ulithilika na hiyo product, you will be indemnified
Hilo ni sawa mkuu, tena kwa wenzetu huko fidia yake inakuwa kubwa, lakini kwetu hapa, hadi uje kwanza uithibitishie mahakama, beyond reasonable doubt!! Ni balaaaa!!
 
sasa mkuu kelele zote hizo hadi umefungua nyuz kumbe uchaf upo kwa nje...acha maskhara na kuharibia watu shughuli zao bana.

Hapo ni nisema, matope ila sina uhakika kama ni matope, what if kama ni mavi, au kitu chochote hatarishi kwa afya yako..

Regardless nimekuta ndani au nje, Generally hiyo ni product, ime combines hicho kimiminika( soda)
Plus packaging ambayo ni chupa..

Je ningekuta chupa imepasuka pale juu kwenye mdomo?

Daaah! Napata kaz kukuelekeza..

Nenda kasome Marketing and Liability
 
Kwanza nashukuru kwa kutuamini kama Pepsi mkuu nasema asante sana.
Pili naomba radhi kwa tatizo kama hilo, ni rarely sana kutokea Kwenye Washer ya chupa wakati wa production unakuta chupa kwa bahati mbaya imepita bila kuoshwa na inspectors kushindwa ku notice kitu kama hicho kutokana na rangi ya kinywaji. Samahani sana kwa tatizo kama hilo. Asante.
 
Usijali, lazima mpate feedback kutoka kwa wateja wenu, kama hivi, ndio njia rahisi ya kujua weakness and strength of the company 's performance., na kujirekebisha.

Tupo pamoja
 
Mkuu kuna Dada maarufu sana hapa Tanzania alikutana na tatizo kama lako kwenye kampuni ya coca alilipwa mamia ya milioni ya pesa ili inshu isifike mbali
wewe kwa kutokujua tu lakini aminI nakuambia pengine ilikuwa ndio njia yako ya kutoka kuishi maisha ya ndoto zako.
 
Kwanza nashukuru kwa kutuamini kama Pepsi mkuu nasema asante sana.
Pili naomba radhi kwa tatizo kama hilo, ni rarely sana kutokea Kwenye Washer ya chupa wakati wa production unakuta chupa kwa bahati mbaya imepita bila kuoshwa na inspectors kushindwa ku notice kitu kama hicho kutokana na rangi ya kinywaji. Samahani sana kwa tatizo kama hilo. Asante.
kagua date code ujue ni nani haswa alikuwa inspection on duty na awajibishwe kwa hili maana linaweza iletea matatizo makubwa kampuni
 
Kwanza nashukuru kwa kutuamini kama Pepsi mkuu nasema asante sana.
Pili naomba radhi kwa tatizo kama hilo, ni rarely sana kutokea Kwenye Washer ya chupa wakati wa production unakuta chupa kwa bahati mbaya imepita bila kuoshwa na inspectors kushindwa ku notice kitu kama hicho kutokana na rangi ya kinywaji. Samahani sana kwa tatizo kama hilo. Asante.
hilo ni tatizo kwa jamaa waliokaa inspection kabla ya chupa kujazwa either kama mnatumia sensors basi zinapitisha errors
 
mtoa mada hata hajitambui
sasa kama uchafu upo kwa Nje kulikuwa na haja gani ya kuandika huku. Usiharibu Biashara za watu...
Pepsi nimeanza kunywa miaka mingi sana ndo soda yangu lakini kikubwa nakutaga Kutuu tu kwenye mdomoo... Kuhusu uchafu inaweza tokea lakini hapa hamna kesi maana ashafungua chupa..
 
mtoa mada hata hajitambui
sasa kama uchafu upo kwa Nje kulikuwa na haja gani ya kuandika huku. Usiharibu Biashara za watu...

Sasa , kwahyo wewe unafikir nitaharibu biashara na kwa level gan? Na ili iweje?

Au kuna mtu nimemtaja jina?

Stupid
 
Back
Top Bottom