Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
Nimenunua soda, nimekuta chupa ina matope yaliyo kauka.
Kweli mnajali afya za walaji?
Kweli mnajali afya za walaji?
Sidhani kama ni shida ya kampuni ya Pepsi mkuu, uwezekano mkubwa ni tatizo la Mangi alikuuzia soda eidha wakati anazihamisha kulikuwa na mvua au uhifadhi mbaya, ukikuta tope ndani wawashie moto..
Mavinywaji mengine tunakunywa at our own riskNimenunua soda, nimekuta chupa ina matope yaliyo kauka.
Kweli mnajali afya za walaji?
ni katiba mpya lumumba
Yalinikuta 2016,nilinunua milinda nyeusi nikanywa funda 3 kuangalia chini kuna matope mlenda mlenda aisee nilijisikia vibaya siku nzima.
Uchafu upo kwa ndani au nje?
Tanzania hakuna haki ya mlaji.Kuna sheria ipo inakulinda, kama customers , unapokuta defective products, unaweza kwenda mahakamani ku claim, and company will be liable for the compasation.
Sema ndio hivyo, tu, mostly of us weren't takes seriously these kind of stuff
Malizia hiyo iliyobaki mkuu ili uendelee na safari zakoNimenunua soda, nimekuta chupa ina matope yaliyo kauka.
Kweli mnajali afya za walaji?
Sasa mkuu hapo hata uende mahakamani, huwezi kushinda hiyo kesi wakati chupa imeshafunguliwa!!! Kutakuwa na uhakika gani kuwa huo uchafu umetoka kiwandani? Kesi kama hizo miaka ya 2000,zilikuwa nyingi sana, lakini ilikuja kubainika kuwa ilikuwa ni hujuma za kibiashara tu!!!Kuna sheria ipo inakulinda, kama customers , unapokuta defective products, unaweza kwenda mahakamani ku claim, and company will be liable for the compasation.
Sema ndio hivyo, tu, mostly of us weren't takes seriously these kind of stuff