Pepsi bariiiidiiii

Pepsi bariiiidiiii

Njia anazopitia huyu jamaa hazina tofaut na za wenzake, future yake ina mashaka pia.

Mwenzio Kiba yuko zake Kahama anapiga show one man army na atajaza uwanja lkn hana kelele km zake.

Huyu atatumiwa na Kusaga then mwishoni atabaki kapuku km wenzie tuu.

Hivi wasanii wetu mnapokwama ni wapi?
Braza kubali tu dogo kawashika panapo noga
 
Njia anazopitia huyu jamaa hazina tofaut na za wenzake, future yake ina mashaka pia.

Mwenzio Kiba yuko zake Kahama anapiga show one man army na atajaza uwanja lkn hana kelele km zake.

Huyu atatumiwa na Kusaga then mwishoni atabaki kapuku km wenzie tuu.

Hivi wasanii wetu mnapokwama ni wapi?
Dua la kuku.
 
Icho kicheko kama zombie kaona damu
 
😀😀😀basi sawa na pepusi hiyo,ila kama wamehusika siyo fea
 
Njia anazopitia huyu jamaa hazina tofaut na za wenzake, future yake ina mashaka pia.

Mwenzio Kiba yuko zake Kahama anapiga show one man army na atajaza uwanja lkn hana kelele km zake.

Huyu atatumiwa na Kusaga then mwishoni atabaki kapuku km wenzie tuu.

Hivi wasanii wetu mnapokwama ni wapi?
Mafanikio aliyo nayo hata akiacha muziki Leo usidhani ataishi kama unavyodhani.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom