Pepsi bariiiidiiii

Pepsi bariiiidiiii

Njia anazopitia huyu jamaa hazina tofaut na za wenzake, future yake ina mashaka pia.

Mwenzio Kiba yuko zake Kahama anapiga show one man army na atajaza uwanja lkn hana kelele km zake.

Huyu atatumiwa na Kusaga then mwishoni atabaki kapuku km wenzie tuu.

Hivi wasanii wetu mnapokwama ni wapi?
 
Wew ndo mange kimambi wa kiume sio
 
Sikilizeni wimbo wa “yataka moyo” wa prof J album machozi jasho na damu mtaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom