Pepper Spray shops in Dar?

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,291
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,291 2,000
Wajameni, kwa mwenye kufahamu naomba kujuzwa ni duka gani naweza pata hiyo bidhaa hapa Dar?

Natanguliza Shukrani

Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.
 
Auto

Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
52
Points
0

Auto

Member
Joined Nov 7, 2012
52 0
Wajameni, kwa mwenye kufahamu naomba kujuzwa ni duka gani naweza pata hiyo bidhaa hapa Dar?

Natanguliza Shukrani

Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.
Pepper spray zinapatikana Tanganyika arms,kwa hapa dar sifahamu liko wapi ila naskia skia ni mitaa ya upanga, incase utakosa ilo duka basi duka lingine lolote la silaha utapata
 
Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,595
Points
2,000

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,595 2,000
Pepper spray zinapatikana Tanganyika arms,kwa hapa dar sifahamu liko wapi ila naskia skia ni mitaa ya upanga, incase utakosa ilo duka basi duka lingine lolote la silaha utapata
na yenyewe nayo ina masharti katka kuinunua au nainunua kama njugu!
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,725
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,725 2,000
Labda duka.la silaha, ila sijawahi kuone supermarket. Vipi, unataka kujihami na kunasishwa? Mie nnayo naweza kukuazima wakati wa matukio,lol
 
Auto

Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
52
Points
0

Auto

Member
Joined Nov 7, 2012
52 0
hii kitu nadhani naweza kujilinda na hawa wezi wanao kuja na kudai hela!!hope inafaa au wasemaje kiongozi!!
Ukiweza kuwa shap ukamuotea machoni lazima aipate fresh yake,ila thamini uhai ulionao kwanza ,usije kumspray mtu mwenye pistol, ukiingia ,youtube kunao video za wa2 waliozitumia zikawatoa kwenye hatari
 
Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,595
Points
2,000

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,595 2,000
Ukiweza kuwa shap ukamuotea machoni lazima aipate fresh yake,ila thamini uhai ulionao kwanza ,usije kumspray mtu mwenye pistol, ukiingia ,youtube kunao video za wa2 waliozitumia zikawatoa kwenye hatari
hawa vibaka wa uswahilini wanakuwa na nondo namapanga kaka!!wa bastola atakuja kwangu kuchukua nini TV!!!
 
Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
2,007
Points
1,195

Columbus

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
2,007 1,195
mkuu uliwahi kuitumia!!inaweza saidia kujilinda na wezi wakikuvamia!!!
Mke wangu aliwahi kuwapulizia vibaka waliotaka kumpora, iliwaingia katika mfumo wa hewa wakakohoa na kushindwa kuona kiasi walikamatwa naa kupelekwa polisi kama mazezeta. Siku hizi ziko ambazo ni advanced zinaweza kwenda mbali zaidi.
 
COURTESY

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
2,009
Points
1,225

COURTESY

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
2,009 1,225
Mke wangu aliwahi kuwapulizia vibaka waliotaka kumpora, iliwaingia katika mfumo wa hewa wakakohoa na kushindwa kuona kiasi walikamatwa naa kupelekwa polisi kama mazezeta. Siku hizi ziko ambazo ni advanced zinaweza kwenda mbali zaidi.
Ukimuotea mtu vizuri hatokaa aibe tena maisha yake yote,kuna moja ni kali hatari
utatamani hapa bora jamaa angekushoot tu bt not that shit!
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,291
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,291 2,000
Hii kwa maisha ya Uswahilini inafaa sana dhidi ya vibaka wakuu.
Tanganyika Arms hapa Dar wako maeneo gani? Au wapi nitapata maduka ya silaha hapa Dar?
 
Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,590
Points
2,000

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,590 2,000
Wajameni, kwa mwenye kufahamu naomba kujuzwa ni duka gani naweza pata hiyo bidhaa hapa Dar?

Natanguliza Shukrani

Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.
Nenda Tanganyika Arms hapo Samora jirani na TRA office upande wa leseni!! Ukifika Stesheni ukiulizia duka utaonyeshwa tu!! Unataka pasua nani macho aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Zipo na za umeme kabisa, akikukaba kibaka mnampiga moja anaona nyota!! Ila kwa wadada wengi kwenye magari yao ni murua sana wawe nazo hasa kama unapita maeneo ya mlalakuwa darajani wale wa DSM wanajua timbili lake pale!
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,291
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,291 2,000
mkuu uliwahi kuitumia!!inaweza saidia kujilinda na wezi wakikuvamia!!!
Inaweza, kama mtu ana Kisu tu au panga. Nyingine zinaweza kwenda mpaka umbali wa Futi 15, kwa maana hiyo unaweza kumpulizia mtu kabla hajakufikia karibu na hivyo kumdhibiti. Siyo salama kumpulizia mwenye Bastola kama huna uhakika wa kumdhibiti, manake atakufyatulia Risasi. Unless uwe fasta sana kuruka/kulala chini au vyovyote vile kukwepa risasi iwapo ataifyatua..
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,291
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,291 2,000
Nenda Tanganyika Arms hapo Samora jirani na TRA office upande wa leseni!! Ukifika Stesheni ukiulizia duka utaonyeshwa tu!! Unataka pasua nani macho aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Zipo na za umeme kabisa, akikukaba kibaka mnampiga moja anaona nyota!! Ila kwa wadada wengi kwenye magari yao ni murua sana wawe nazo hasa kama unapita maeneo ya mlalakuwa darajani wale wa DSM wanajua timbili lake pale!
Mkuu nashukuru sana, kesho nitaenda kuisaka pale. Kuelekea msimu wa sikukuu ni muhimu kuwa na hii bidhaa ndugu, manake wezi na wanyang'anyi wameongeza spidi ya kupora ili wapate fedha za kula sikukuu. Kwa mtazamo wangu hii ni nzuri kuliko kisu au sime..
 
Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,595
Points
2,000

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,595 2,000
Mkuu nashukuru sana, kesho nitaenda kuisaka pale. Kuelekea msimu wa sikukuu ni muhimu kuwa na hii bidhaa ndugu, manake wezi na wanyang'anyi wameongeza spidi ya kupora ili wapate fedha za kula sikukuu. Kwa mtazamo wangu hii ni nzuri kuliko kisu au sime..
mkuu nasubiri taarifa iwao itaipata huko ili na wadau wengine twende tukajipatie ulinzi binafsi!!
 
Forum statistics

Threads 1,392,953
Members 528,739
Posts 34,123,079
Top