Pepper Spray shops in Dar?

Wakuu, nimefanikiwa kuipata pale Tanganyika Arms ya Posta jirani na TRA kama alivyoelekeza Zogwale hapa chini (red). Bei ni Tsh 30,000 na utahitaji kwenda na kopi ya kitambulisho. Kwa wale wenye uhitaji nadhani mtasaidika.

Nenda Tanganyika Arms hapo Samora jirani na TRA office upande wa leseni!! Ukifika Stesheni ukiulizia duka utaonyeshwa tu!!

Pepper spray zinapatikana Tanganyika arms,kwa hapa dar sifahamu liko wapi ila naskia skia ni mitaa ya upanga, incase utakosa ilo duka basi duka lingine lolote la silaha utapata

Nashukuru kwa ufafanuzi, siku za nyuma tulikuwa tunanunua South Africa.

hii nami nitahitaji

mkuu nasubiri taarifa iwao itaipata huko ili na wadau wengine twende tukajipatie ulinzi binafsi!!
 
Na mi nlitaka kusema kitu hicho icho.ikikamatwa na wezi watashukuru mana wakiingia watawaspray kwanza nyie,then kazi yao ya kuiba,au kama ni kubaka inakwenda smoothly.

Isije ikaangukia kwenye mikono ya wahuni wa Tandale kwa Tumbo,itakua balaa
 
Wakuu, nimefanikiwa kuipata pale Tanganyika Arms ya Posta jirani na TRA kama alivyoelekeza Zogwale hapa chini (red). Bei ni Tsh 30,000 na utahitaji kwenda na kopi ya kitambulisho. Kwa wale wenye uhitaji nadhani mtasaidika.
mkuu ahsante sana kwa taarifa hii muhimu!!nitafanya utaratibu wa kufuata nyao zako!!!!
 
Ni kweli zimeingia last week na bei 30,000 ila huwa zinaisha mapema sana!!wahi ukajipatie mapema
 
Wakuu, nimefanikiwa kuipata pale Tanganyika Arms ya Posta jirani na TRA kama alivyoelekeza Zogwale hapa chini (red). Bei ni Tsh 30,000 na utahitaji kwenda na kopi ya kitambulisho. Kwa wale wenye uhitaji nadhani mtasaidika.

Asante Mkuu TANMO kama umefanikiwa.
 
Wakuu, nimefanikiwa kuipata pale Tanganyika Arms ya Posta jirani na TRA kama alivyoelekeza Zogwale hapa chini (red). Bei ni Tsh 30,000 na utahitaji kwenda na kopi ya kitambulisho. Kwa wale wenye uhitaji nadhani mtasaidika.
TANMO mbali na kopi ya kitambulisho hakuhitajiki tena vitu kama kibali, barua ya mjumbe na bla bla nyingine? ukiwa na 30,000/- na hiyo kopi ya ID unapewa mzigo hapo hapo?
 
Huitaji kitu ingine Arifu, wewe nenda na kopi ya Kitambulisho na Elfu 30 unapatiwa mzigo Kaka..
 
Nakushukuru mkuu. nipo safari, after 2weeks ntarudi Dar ntaenda kujipatia ya kwangu angalau itasaidia kukabiliana na vibaka wa kuotea road.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom