Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kama huna hoja si lazima kuchangia, Wakudadavua ametoa hoja nzuri kwa mwelekeo wa vyama vyetu mbadala wanapinga hata yale yaliyokuwa wanapendekeza kweli wanafaa kuongoza nchi?Umefanikiwa kuanzisha uzi hongera
Hili tatizo la kupinga kila kitu sasa limegeuka sumu, Chadema ilianza kama Chama chenye mawazo mbadala, baadaye kama chama/serikali mbadala huku wakiwaainisha maadui wa nchi kwa uaminifu mkuu. Baadaye wakanunuliwa na wale waliowaita maadui wa nchi na hapa ndipo balaa likaanza. Tukashuhudia pepo la kupinga kila jema likiwavaa.
mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.
Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Nawasilisha.

Umeyaona hayo unayosema kwenye hoja ya mleta mada?Hebu soma content ya kilichoandikwa,kuna hata kimoja alichokibainisha mleta mada katika kujenga hoja yake???Kama huna hoja si lazima kuchangia, Wakudadavua ametoa hoja nzuri kwa mwelekeo wa vyama vyetu mbadala wanapinga hata yale yaliyokuwa wanapendekeza kweli wanafaa kuongoza nchi?
True,shetani mwenyewe kubwa la maadaui ni ccmChadema ni mbadala wa shetani hapa Tanzania
jenga hoja na si kubweka dogo.Elimu inawahusu vijana wa lumumba!Ukisoma heading utajua ndani umechambua bajeti na kuainisha hayo mazuri ambayo wapinzani wanayapinga!
Nikakaa mkao wa kula na kuacha shughuli zangu nisome content ya ulichoandika,damn,upuuzi mtupu!Hujui hata kuhusianisha hoja na heading!
Nadhani uzi huu unataka watu wapeani mipasho na vijembe!Total crap
Wewe unajielewa?Kwani Mtu akisema kitu Fulani hakiko Sawa Ndio kapinga kila kitu? Upotoshaji huo, CCM siku zote hamjielewi.
Yetu macho michango ikianza J tatu, msije kuanza katukana tu, mkijibiwa Ndugai awasaidie.
Bajeti hewa hii, Kama ya Mwaka jana,
Utawala bora huna, wahisani hawawezi kukupa PESA, itakuwa Kama iliyopita.
Wacha kulalamika.Umeyaona hayo unayosema kwenye hoja ya mleta mada?Hebu soma content ya kilichoandikwa,kuna hata kimoja alichokibainisha mleta mada katika kujenga hoja yake???
Kaandika upuuzi!
Rudi shule ujifunze kuandika.Sababu ni kwamba mnayarukilia kwa kukurupuka, hamjayafanyia utafiti wa kutosha, nia yenu ni kulituliza dude tu, hamna mikakati endekevu ya kuondokana na matatizo yanayotukabili kama taifa, mfano mubashara ni swala la makinikia. Hebu angalia swala la TANESCO, IPTL anaomba aongezewe mkataba wa miaka mitano, wakati uwepo wake kisheria ni majanga. Sasa hivi TANESCO wanalipa tena deni la escrow kwa STANDARD CHARTED BANK kwani kisheria ndio wamiliki halali wa IPTL. Sisi na wabunge wetu, wengi wakiwa wa CCM tupo tu kama mazuzu.
Unaona sasa, hamjielewi, Mimi nimesema Kwanini hamjielewi, wewe unakuja na swali, wewe unajielewa? Bila hoja yoyo,Wewe unajielewa?
Hili tatizo la kupinga kila kitu sasa limegeuka sumu, Chadema ilianza kama Chama chenye mawazo mbadala, baadaye kama chama/serikali mbadala huku wakiwaainisha maadui wa nchi kwa uaminifu mkuu. Baadaye wakanunuliwa na wale waliowaita maadui wa nchi na hapa ndipo balaa likaanza. Tukashuhudia pepo la kupinga kila jema likiwavaa.
mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.
Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Nawasilisha.
We mpuuzi andika kitu cha kuelewekajenga hoja na si kubweka dogo.