Pepo la kujichubua kwa wanawake limetoka

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama mjuavyo miaka fulani ya nyuma wanawake walikuwa na pepo la kujichubua.

Walikuwa wanapaka mikorogo mikali wakawa wanaungua kana wamekaangwa.

Pepo hilo lilisababishwa na kutaka kuwateka wanaume maana shetani wa kipindi hicho alitaka rangi nyeupe.

Ikafika hatua wanawake na wadada wa mujini kuwa na sura za mirinda na Pepsi.

Baadae wakaona wanageuka kuwa mazombie wakaacha ila wale walioacha walichakaa sura kama masokwe.

Miaka ya hivi karibuni sasa wanawake wamestuka na kuanza kupenda asili.

Sasahivi sio ngozi tu kuwa za asili kwa wanawake bali hata nywele nazo wameacha zimekuwa za asili.

Hii imepelekea wadada wa sasa kuwa wazuri sana kwakweli.

Ukipita sehemu mbalimbali utakuta wadada wanakatisha utaona walivyo asili.

Hii inapendeza sana maana inapelekea kaka zetu kuchagua rangi watakazo.

Tunashukuru lile pepo la kujichubua liketoka tunaamini wakati ni mwalimu mzuri hata hayo mapepo mengine yatatoka.

Donatila
 
Sidhani kama unajua vingi kuhusu urembo
FB_IMG_1661337446340.jpg
Hii kitu unaijua?
 
Ndyo kwanza wameanza kujichubua pita mijini kwenye watu WENGI UTAAMINI.Sahivi wanawake wamekuwa wapumbavu sana kuanzia juu Hadi chini HAWANA tofauti na midoli.

1 kichwani kavaa wigi

2 nyusi kanyoa kapaka wanja

3 Macho kaweka kope za Bandia

4 Pua kachongesha (mfano Nicki Minaj)

5 Mdomo kapaka lipstick

6 USO kauchubua na madawa makali YENYE mercury

7 Matiti kaenda kuongeza kupitia plastic surgery

8 Masikio kaweka hereni kubwa kama za SHETANI

9 Viini VYA macho kavibadilisha rangi viwe rangi tofauti mfano blue brown yellow badala ya kubaki na Viini Vya asili vyeusi

10 Matako katumia mchina kuongeza

11 Miguu ya chini katumia madawa kuongeza

12 Akili yake pia imeharibiwa na feminism na kiburi anataka 50 kwa 50

13 Nisisahau na nguo wanazovaa za ovyo (Uchi) za kuwaonesha Wanaume Matiti, Matako ,Shepu ili wawatamani na kuzini nao kwenye akili

Alafu utakuta anasema nataka mwanaume mcha Mungu mrefu wa kunijali awe na pesa. Utapata Wanaume wanaokutamani tu sio wa kupenda.
 
Umetisha bro
 
Nachukia mdada akiwa na kipini...
Namuona hajatuli

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama mjuavyo miaka fulani ya nyuma wanawake walikuwa na pepo la kujichubua.

Walikuwa wanapaka mikorogo mikali wakawa wanaungua kana wamekaangwa.

Pepo hilo lilisababishwa na kutaka kuwateka wanaume maana shetani wa kipindi hicho alitaka rangi nyeupe.

Ikafika hatua wanawake na wadada wa mujini kuwa na sura za mirinda na Pepsi.

Baadae wakaona wanageuka kuwa mazombie wakaacha ila wale walioacha walichakaa sura kama masokwe.

Miaka ya hivi karibuni sasa wanawake wamestuka na kuanza kupenda asili.

Sasahivi sio ngozi tu kuwa za asili kwa wanawake bali hata nywele nazo wameacha zimekuwa za asili.

Hii imepelekea wadada wa sasa kuwa wazuri sana kwakweli.

Ukipita sehemu mbalimbali utakuta wadada wanakatisha utaona walivyo asili.

Hii inapendeza sana maana inapelekea kaka zetu kuchagua rangi watakazo.

Tunashukuru lile pepo la kujichubua liketoka tunaamini wakati ni mwalimu mzuri hata hayo mapepo mengine yatatoka.

Donatila
Mshana Jr Soma Tena Elli mawardat Utingo green rajab mjingamimi OSEFUKANY Ulimakafu bagamoyo Kennedy Southern Highland Get Rich njumu za kosovo
 
Back
Top Bottom