Pepo la kujichubua kwa wanawake limetoka

Nauza Vipodoz

Ulichokiandika kinapingana na uhalisia

Katika wanunuzi 10 6 wanataka mkorogo

Siku hizi wamejifunza kutumia collagen na oils zinapunguza ukali wa mkorogo
 
Wanawake hujichubua kutokana na hela zenu wanaume mnazowahonga ndio zinawafanya waonekane wazuri mnaxidi kuwapenda hebu acheni kuwahonga muone hali zao zitakavyokua mbaya.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama mjuavyo miaka fulani ya nyuma wanawake walikuwa na pepo la kujichubua.

Walikuwa wanapaka mikorogo mikali wakawa wanaungua kana wamekaangwa.

Pepo hilo lilisababishwa na kutaka kuwateka wanaume maana shetani wa kipindi hicho alitaka rangi nyeupe.

Ikafika hatua wanawake na wadada wa mujini kuwa na sura za mirinda na Pepsi.

Baadae wakaona wanageuka kuwa mazombie wakaacha ila wale walioacha walichakaa sura kama masokwe.

Miaka ya hivi karibuni sasa wanawake wamestuka na kuanza kupenda asili.

Sasahivi sio ngozi tu kuwa za asili kwa wanawake bali hata nywele nazo wameacha zimekuwa za asili.

Hii imepelekea wadada wa sasa kuwa wazuri sana kwakweli.

Ukipita sehemu mbalimbali utakuta wadada wanakatisha utaona walivyo asili.

Hii inapendeza sana maana inapelekea kaka zetu kuchagua rangi watakazo.

Tunashukuru lile pepo la kujichubua liketoka tunaamini wakati ni mwalimu mzuri hata hayo mapepo mengine yatatoka.

Donatila
Bado lipo ujatembea huko uswahili uko. Usweken.ndo utaelewa kama lipo au alipo
 
Ni kweli Pepo la kujichubua limetoka likaingia la makalio.... Yaani hakuna kupoa
 
Back
Top Bottom