Me love this!!
Atahangaika sana, Ikulu atakaribishwa juisi na tende na kahawa tu. Kuhamia mule huyo mzee, labda, kwenye ndoto za mchana.
Kashindwa kuongoza kondoo waliopotea akiwa kanisani ataweza kuchunga mbweha?
Ana uchu.

Kwanza Mungu akituweka hai, tunangoja sakata lake inapokaribia 2015 maana tetesi zinasema Mwenye chama (Baba mkwe) hataki Slaa agombee, sasa mkwe pale sijui atafanyaje? yetu macho!
kwa hiyo wewe mbweha.?