Natumaini imeifanya Ijumaa iende kwa kasi
Miye ntakuwa mwanza karibuni ,nahitaji pia kujua kinapatikana wapi!!
Da nilidhani umechakachua riwaya ya Majeruhi wa Mapenzi, kumbe mambo ya mauzo!
Muone macho kama sungura wa mazingaombwe...
Karibu Mwanza miss Chichat!Ila mvua sasa uje na gambuti usije na pozi za kimiss
Aaah wapi.. hizo si unajua ni za kiCCM zaidi...
Wakati kina dada wanaweza kuwa wamevutiwa na viatu kwenye picha ya cover kina kaka watakuwa wamevutiwa na nini? Na kwa nini?
Ur rit those shoes ziko mwake!
Tatizo lako unatubania. I dont wanna wait in vain. . . .
Ur rit those shoes ziko mwake!
Mzee Mwanakijiji what am I suppose to say? Let me praise you.
U ar Master Storyteller,
Charming&Poignant also ur stories are even better after 2nd reading! This story is a fast-paced, densely layered exploration of love. Bottom line: Great story!!