kwa kweli ni wakarimu sana!Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab
Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!

Mmmh makubwa.. haya utajengea wangapi ndugu.. hiyo sio solution bali unaukaribisha umaskini bila kujijua..Kimlacho mwenzake siku zote huwa kina njaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kula kila kitu jerrytz; bila shaka nafasi katoa mwenyewe mkeo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Yani ana bahati sana kwani ingekuwa ni Mimi ningemjengea kabisaaaa kwani hawa wanawake wanaudhi sana Best!!!!!!
Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab
kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.
Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!
Evelyn Salt uliosoma moyo wangu aisee ngoja atujibu kwanza.So hiyo ndo ilikuwa solution.....
Ulivomgegeda shemeji ako mkeo kawa na nidhamu? kaacha ukorofi?
kama ndevu ndo zinakamilisha uanaume wako, beberu kakuzidi ujue!!!!!!!!!!
Evelyn Salt uliosoma moyo wangu aisee ngoja atujibu kwanza.
Hawa watu sometimes wana kero sana.
They don't look for solutions of their marriage problems instead they are bringing in more probs mtcheeeeewwwWwwwww (msonyo).
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
SnowBall duh.. Hivi kumbe ukarimu ndo uko namna hiyo?????Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab
Guys this is very serious; ln fact last week nilishaanza mchakato wa ku divorce;nilipokwenda church baada ya majadiliano marefu nikaambiwa kanisa halina uwezo wa kutenganisha ndoa;hivyo ombi langu la divorce lipo kwa mkuu wa wilaya;issue ya talaka ndio iliyotuleta hapo kebbys ili tujadili
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Nikisema, mnasema mwanamalundi anachonga sana. Embu oneni wenyewe sasa huyu jamaa ndio amenzisha mada gani hapa? Sasa kuna kitu gani cha kujifunza hapa. After all, this is your private business. Hayatuhusu.