penzi la shemeji


Jerrytz its sad you went so low, no rationalization Sir.
Keep off both ladies, come clean of your conscience.
Problems with your lawfully wedded wife notwithstanding,
Church was the place for reconciliation, not in a Hotel or any such place.
While it appears you have irreconcible differences, your sister inlaw is no long term solution to the mess. The word for you is to STOP!
Start afresh
WanaJamvi, we pray for this brother in a sad marital mess please!
 
mhn! pole sidhani kama ulitumia busara! hapo umechemsha si dhani kama ndio dawa yake nashukuru MUNGU nilichotaka kukuandikia kimerudi njiani
 
nayajua yote hayo kuwa sina nidhamu;ni vyema unishari badala ya kulaumu ndugu

sasa hapa ushauriwe nini? tukushauri katika hili 'nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu' au tukushauri nini ndugu?maana ushafanya maamuzi ati...
 
mi nasema tu ya moyoni mwangu,
hawa wali wa leo wamebadilika sana, sijajua ni malezi ya huko watokako au ninini, hivi tatizo hasa ni nini nyie akina mwali / mpora?
 
i dont knw how to put it right;however sikuwa kuwa na matamanio na shemeji yangu licha ya kuwa ni msichana mzuri;kilichotokea kwangu ni huruma ya shemeji kupooza maumivu ya ndoa tu;sina mpango wa kuendelea kuzini naye as i need to settle down

So unataka ushauri gani?
 

Word; you are so bright sometimes! LOL
 

Thank u very much; u hv come to my rescue, u have shown me my weakness and yet you directed to the place where i will a lasting solution! Thank u for ur prayers, for the first time i feel relieved; i will take heed to your word, what a wonderful morning, oooh God have mercy on me!
 
Acha kabisa huo mchezo, tafuta tu suluhu na mkeo au achana naye.
 
ukisikia uso wa mbuzi ndio huu!!jamani wanaume tuwe na aibu,tena unaishi nae nyumba moja?aaarrrrggghhhhh
 

dah,mdau!uko nchi hii hii ya JK!your english is so knock outing na inaleta sana maumivu ya kichwa!!haahaa
 

we kweli seven up!
YANI ISSUE YA TALAKA NA MKEO MNAONGEA NA SHEMEJI YAKO KEBBY'S?
NDOA ULIFUNGA NA SHEMEJI AU DADAKE?
UNA GROUNDS ZIPI TENA ZA KUDAI TALAKA ILHALI USHAHALALISHA UHARAMU?
UJEURI WA MKEO UNAKUSIMAMISHAJE DUSHE KWA MDOGO WAKE?
hebu tuache tuingie mwaka kwa amani bana!
hivi mapungufu ya mtu mwingine yanakupaje sababu na wewe kutosimami misismamo yako ya kimaisha kama sio na wewe ulikuwa DHAIFU TUU!
 

So you didn't know you are DHAIFU au you are not a REAL MAN? (post hii ndio imekufanya ugundue hilo??) A real man knows what he is doing n do what he wants to do; no wonder mkeo analeta ukorofi. She is searching for a REAL MAN in you!
 
mi ndo mana nilikumiss mwaya!
af akishamaliza achukue na kakake kabisa!
kumbaf!
 

Pole kwa tabia ya mkeo, ila hilo ulilolifanya si suluhisho la tatizo ulilonalo, badala yake umejitafutia matatizo zaidi. Kwa kawaida unapofanya jambo baya kwa mtu, unapaswa kujiuliza '' hivi ingekuwa ni mimi nimetendewa hivyo ningejisikiaje''? na wewe jiulize swali hilo hilo.

Ndoa ina mambo mengi sana, jiulize je ulimuomba Mungu ili akupe mke kabla hujaoa? na je uliopomuoa huyo mkeo unadhani Mungu alikupa au ulikurupuka tu? kama ni Mungu alikupa una haki ya kumuambia tena Mungu, mbona mke huyu uliyenipa ananisumbua, naomba ushughulike naye au umfiyange ili nifanane naye. Lakini kama hukumuomba Mungu bado una nafasi, funga na kuomba sana, pata muda mzuri wa kumuomba Mungu na umuambie Mungu akusaidie na pia akusamehe kwa kufanya uzinzi na mdogo wa mkeo, naamini kabisa Mungu atakusaidia.

Acha kutembea na mdogo wa mkeo, utapata laana, na zaidi mkeo akijua unaweza kusababisha mauti , kwani inauma sana kuona mume anatembea na shemeji!!!!!!!!!!! muache haraka iwezekanavyo, hata mkijificha namna gani itajulikana tu
 
Halafu ni ndoa ya Mwaka mmoja tu! Muwarudishie watu michango yao! Khah!
 
Jamani wanaume mna tamaa kama mafisi!!!!halafu visingizio vyenu ndo hivo mwanamke,kwani mkeo akikuudhi lazima ulipize kwa kwenda kufungua zipu kwa mwanamke mwingine??mangapi mnatutenda sisi wanawake hatuendi kupunguza hasira kwenye dushe*za wengine?Punguzeni tamaa za kijinga
 

Mungu pekee ndiye anayeweza kubadili tabia ya mkeo na yako. kumbuka kufanya hivyo sio suluhisho la stress bali ni furaha ya muda kisha maumivu yatarudia. nendeni kwenye makanisa ya watu waliookoka mkaombewe mtapata afya njema
 
Huyo mke hakufai brother. Lakini pia kuzini na mdogo wake haikuwa sahihi. Kwa kuwa ni ndoa ya Kikristo mnachoweza kufanya ni ku-separate kwa muda (mapadri wanaruhusu). Hii itatoa fursa kwa mkeo kujirudi na hatimaye kujenga ndoa imara zaidi hapo baadaye. Iwapo hatajirekebisha mnaweza ku-extend hiyo separation.
 
Halafu ni ndoa ya Mwaka mmoja tu! Muwarudishie watu michango yao! Khah!
hapo sasa!
eti ndoa yangu ina mwaka mmoja mke wangu jeuri nimekatana na mdogo wake kebbys tumechukua chumba na this thing is very serious nimefile swala la talaka kwa mkuu wa wilaya!
hivi watu wanapooana huwa wnafikiri ndoa ni kuchagua colour of the wedding na kucheza kwaito la kuingilia plus champagne parade enh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…