mkuu Liverpool; thanks kwa ushauri in fact sina lengo wala nia ya kuendelea na huyu shemeji yangu; thats true some womens wanaboa kwa kweli wanaweza kukupeleka ambapo sipo kabisaKimlacho mwenzake siku zote huwa kina njaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kula kila kitu jerrytz; bila shaka nafasi katoa mwenyewe mkeo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Yani ana bahati sana kwani ingekuwa ni Mimi ningemjengea kabisaaaa kwani hawa wanawake wanaudhi sana Best!!!!!!
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
yaan nataman nisome connection hiyo had wanachukua room
mianaume ya siku hizi mipumbavu kweli. Hivi wewe unajua mkeo ni mkorofi na nidhamu yake ni mbaya kwanini bado unaendelea kuishi naye? Mpe talaka ili ufanye hayo unayoyafanya sasa pasipo lawama maana hata sasa unamsaliti kwani bado ni mkeo. Mimi huwa najiuliza sana hivi utawezaje kuishi na mtu ambaye totally hamuendani? Unadhani maisha ni leo na kesho? Muachane kila mtu awe huru na yeye kuna watu akiishi nao wataelewana. Nyinyi ndo huwa mnaishia kuchinjana tu, elewa maisha ya ndoa ni mawasiliano hakiharibika mawasiliano tu mengine yote yameharibika pia.
soma mistar miwili ya mwisho ya thread yako uloianzisha,halafu fananisha na hapo kwenye red,sina nia mbaya ya kukurudisha class,ila nyie mlikua mnatamaniana kitambo,mioyo yenu ilikua inaongea,NGONO SIKU HIZI IMEKUA SIMPO SANA
Nani kasema ni haramu kuoa mtu na mdogo wake? That is not incest guys!
Kuzini na mahusiano isnt the same thing!
Dah! balaa kubwa hili
Take my advice, if you want do, do it but make sure your wife & family will never know and i mean it never
Hongera sana kwa kupata mke mdogo. Nakushauri umuhamishe hapo home na ufunge ndoa nae ya siri. Siku akianza ukorofi na yeye, mtafute mama mkwe mkajadili taboa za wake zako wote wawili afu mchukue chumba. Mama mkwe akianza ukorofinae umtafute baba mkwe eeh.
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
Makubwa acha kutafuta justification wewe, eti mlipanga mkutane hoteli kujadili tabia ya dada yake, huoni hata uzito mdomoni kutamka wile mlikua na yenu,
huna hata rafiki ukamuwekamo hapo huyo shemeji yako kidogo maana inaonyesha hana pumziko