penzi la shemeji

penzi la shemeji

jerrytz

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
5,980
Reaction score
4,284
Dffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffggggggggggggggggg hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
 
Duuh nyie mlikuwa mmeshatamaniana tu. mlianzaje mawazo ya kugegedana wakati ni mtu na shemeji yake?
 
nayajua yote hayo kuwa sina nidhamu;ni vyema unishari badala ya kulaumu ndugu

Mimi sijalaumu kitu. Wewe umesema mkeo hana nidhamu; mimi nimekuonyesha kuwa aso nidhamu ni wewe na huyo shemeji yako

Basi!
 
You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.

Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!

Mkuu Kaunga unamshauri aendelee kugegeda? Je ungekuwa wewe ndo mkewe ungejisikiaje?
 
Last edited by a moderator:
huoni kuwa dada yake amechangia?

Mkuu mimi nilikuwa nauliza hivi, nyie mlikutana kujadili tatizo la dada yake sasa ilikuwaje mkapenyeza mada ya kugegedana wakati haikuwepo? Au mlikuwa mmeshatamaniana siku nyingi ndo mkaona hapo hapo m-take chance? Na, je katika majadiliano yenu mlipata suluhisho lipi kama sio kuendelea kugegedana?
 
Kimlacho mwenzake siku zote huwa kina njaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kula kila kitu jerrytz; bila shaka nafasi katoa mwenyewe mkeo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Yani ana bahati sana kwani ingekuwa ni Mimi ningemjengea kabisaaaa kwani hawa wanawake wanaudhi sana Best!!!!!!

huoni kuwa dada yake amechangia?
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu;

Huwa nashindwa kuwaelewa nyie watu. Ilikuaje ukamuo kama anatabia mbovu kiasi hicho? Na je hamkupata muda wa kufahamiana? Ninacho amini tabia mbaya kiasi hicho hazijifichi. Get a divorce and go ahead na mdogo mtu
 
Duuh nyie mlikuwa mmeshatamaniana tu. mlianzaje mawazo ya kugegedana wakati ni mtu na shemeji yake?

katika maelezo yake cd ime scratch,maana nami ninejiuliza mzee jerrytz weka sawa maelezo yako
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi nilikuwa nauliza hivi, nyie mlikutana kujadili tatizo la dada yake sasa ilikuwaje mkapenyeza mada ya kugegedana wakati haikuwepo? Au mlikuwa mmeshatamaniana siku nyingi ndo mkaona hapo hapo m-take chance? Na, je katika majadiliano yenu mlipata suluhisho lipi kama sio kuendelea kugegedana?

Guys this is very serious; ln fact last week nilishaanza mchakato wa ku divorce;nilipokwenda church baada ya majadiliano marefu nikaambiwa kanisa halina uwezo wa kutenganisha ndoa;hivyo ombi langu la divorce lipo kwa mkuu wa wilaya;issue ya talaka ndio iliyotuleta hapo kebbys ili tujadili
 
yaan nataman nisome connection hiyo had wanachukua room
 
You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.

Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!

Duh! Kaunga, we ni kiboko!
 
katika maelezo yake cd ime scratch,maana nami ninejiuliza mzee jerrytz weka sawa maelezo yako

i dont knw how to put it right;however sikuwa kuwa na matamanio na shemeji yangu licha ya kuwa ni msichana mzuri;kilichotokea kwangu ni huruma ya shemeji kupooza maumivu ya ndoa tu;sina mpango wa kuendelea kuzini naye as i need to settle down
 
Last edited by a moderator:
Guys this is very serious; ln fact last week nilishaanza mchakato wa ku divorce;nilipokwenda church baada ya majadiliano marefu nikaambiwa kanisa halina uwezo wa kutenganisha ndoa;hivyo ombi langu la divorce lipo kwa mkuu wa wilaya;issue ya talaka ndio iliyotuleta hapo kebbys ili tujadili

sasa jerrytz mlihamaje kwenye talaka mkaingia kwenye mjadala wa ngono na ukamgegedua na pia ujue ndugu hasa wa mke na wa kwako wakijua hawatakubal tatizo la my wyf wako ila watasema chanzo ni wewe na shemejio alokutanulia miguu
 
Last edited by a moderator:
i dont knw how to put it right;however sikuwa kuwa na matamanio na shemeji yangu licha ya kuwa ni msichana mzuri;kilichotokea kwangu ni huruma ya shemeji kupooza maumivu ya ndoa tu;sina mpango wa kuendelea kuzini naye as i need to settle down

soma mistar miwili ya mwisho ya thread yako uloianzisha,halafu fananisha na hapo kwenye red,sina nia mbaya ya kukurudisha class,ila nyie mlikua mnatamaniana kitambo,mioyo yenu ilikua inaongea,NGONO SIKU HIZI IMEKUA SIMPO SANA
 
Back
Top Bottom