Hhahahaha kwa mtonyo wa suti za kushona,?atasubiri sana....LMFAO
kwa hiyo hapana aisee labda aseme ni sample tu
watu8Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?
sokweNimejifunza tabia za watu hapa jf!! Maneno yenu yana reflects character zenu!! Inasikitisha sana tabia hizi, watu wengine hufikia hata kujiua kwa mambo Kama haya bullying isn't a good thing at all, tujifunze kuheshimiana tutofautiane kwa hoja, hakujiumba ila mungu ndie aliemuumba!! Kumkejeri ni kudhiaki kazi ya mungu!!!!!
duh kumbe ndio maana watu wanang'ang'ania avata za akina DENZEL WASHINGTON wangeweka picha zao hapa wala msingekuwa hata mnachangia post zao...........
Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?
Nimejifunza tabia za watu hapa jf!! Maneno yenu yana reflects character zenu!! Inasikitisha sana tabia hizi, watu wengine hufikia hata kujiua kwa mambo Kama haya bullying isn't a good thing at all, tujifunze kuheshimiana tutofautiane kwa hoja, hakujiumba ila mungu ndie aliemuumba!! Kumkejeri ni kudhiaki kazi ya mungu!!!!!
mmmh Malafyale umejuaje kama hiyo ni pic yake halisi? au mnafahamiana?Ndivyo alivyo na namsifu kuleta picha yake halisi !
Stop bullying him pls!Kama ww umebahatika kuwa na bf handsome zaidi ya huyu jamaa mshukuru Mungu
Mnamdhalilisha kijana huyu bila sababu yyt ile!Kosa lake ni nn?Hapana hii haikubaliki
Tusikashifiane kwa sababu tu hatujuani!Ktk ukoo wenu wote hamna mvulana mwenye sifa kama hizi?Umewahi mkashifu?
Hii haikubaliki!
Ndivyo alivyo na namsifu kuleta picha yake halisi !
Stop bullying him pls!Kama ww umebahatika kuwa na bf handsome zaidi ya huyu jamaa mshukuru Mungu
Mnamdhalilisha kijana huyu bila sababu yyt ile!Kosa lake ni nn?Hapana hii haikubaliki
Tusikashifiane kwa sababu tu hatujuani!Ktk ukoo wenu wote hamna mvulana mwenye sifa kama hizi?Umewahi mkashifu?
Hii haikubaliki!
Nimejifunza tabia za watu hapa jf!! Maneno yenu yana reflects character zenu!! Inasikitisha sana tabia hizi, watu wengine hufikia hata kujiua kwa mambo Kama haya bullying isn't a good thing at all, tujifunze kuheshimiana tutofautiane kwa hoja, hakujiumba ila mungu ndie aliemuumba!! Kumkejeri ni kudhiaki kazi ya mungu!!!!!
Nyie mna uhakika gani kama hiyo picha ni yake,,wacha tufurah tucheke ukiyaamin ya humu mtandaoni utachemkaaa
watu8
Ukiunga mkono udhalilishaji huu unaofanywa na hawa dada zetu kwa jamaa huyu ipo siku na ww watakudhalili na itakuwa too late kukemea!
Awe msichana au mvulana kila mmoja wetu ana haki ya kubandika picha yake hapa kwa topic anayo ona yy inafaa kwenda na picha zake!Kama picha haijakupendeza haina maana ndiyo umtusi
Bullying is not accepted in any how!Jamaa huyu ni shujaa kaweka picha yake halisi
Mhh username yako inatisha,badilisha kwanza,thn weka detailed cv including latest salary slip....haha
Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?