Penzi la mtandaoni

Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

weka sivii baba. Primary ulisoma canada, secondary america hadi six, first degree england. Ukarudi kidogo nyumbani ukaajiriwa pale magogoni. Baada ya miaka miwli ukaenda ujerumani ukachukua masters. Kwa sasa uko magogoni kama mshauri wa bwana mkubwa kuhusu uchumi. Kopi weka profire hiyo ung'oe mtoto wa ukweli jf. Watu hawaangali sura siku hizi. Wenzako ndio tunavyong'oa.
 
shikamoo
 
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

Na huwezi kumpata,wewe upewe raha tu halafu wenzio usiwape raha,sema kwa siku tunatembelea viwanja vikali vingapi, una gari ya aina gani,?
Kwa siku utanipa mkwanja kiasi gani hadi nikubali?
Ukipenda raha gharamia bana hatuwez kukupa bila we kutupa raha
Halafu una undugu ba pindaa eee
 
fundi juma kashona vibaya..me i like my man in black suit ...hizi za kijani na damu ya mzee mi sipendi

Tafadhali mkuu, sisi wafanya biashara wa ng'ombe tunapendeza sana kwa suti za rangi ya kijani, njano, nyekundu eeehh....
 
duu!! hadi picha umeweka uko serious!! all the best mkubwa
 
Mtaani wameisha hadi umekimbilia humu yaan umekataliwa mtaan kote halaf sie tukukubali,
Thubutuuuuu
 
Unasur mbAya ww cjui kama utakuja pendwa duh!!!!!!
 
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

Habari za njombe kaka dereva? Siku zingine ukikaa uwe unafungua vifungo vya thuti. Manake unaonekana kama unatoshia kupaa
 
Mtaani wameisha hadi umekimbilia humu yaan umekataliwa mtaan kote halaf sie tukukubali,
Thubutuuuuu

Mna mkejeli huyu jamaa bila sababu zozote za msingi!

Kutafuta mchumba ni haki yake ya msingi na ya kibinadam na sijaona kosa lolote alilofanya hapa!

Kama kaka huyu sio type yako pita kimywa kinywa sio kumkejeli!Wisdom is the cardinal virtue
 
Pole ila ilo user name humpati mchumba

Akiwa na hela atapata tu tena watajipanga msururu achague amtakaye!

Hawa wote wanao mponda mswaki wao jamaa apake hela badala ya colgate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…