Mkuu penzi jipya nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????? Angalia lisije likawa kifo cha mende mbeleniKwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote kumfikiria yeye. Niokoeni mwenzenu jamani Jamii forum inaniharibia kufanya mambo mengine, muda wote nakesha nayo, nahisi ufanisi wangu wa kazi umepungua!
Na log out
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote kumfikiria yeye. Niokoeni mwenzenu jamani Jamii forum inaniharibia kufanya mambo mengine, muda wote nakesha nayo, nahisi ufanisi wangu wa kazi umepungua!
Na log out
Uza hiyo simu unayotumia.
ndyoko ndio mwana Jf wa Kwanza kuonana naye ana kwa ana, alifunga safari kutoka Manyara, kutembelea Bujibuji a.k.a B+ Bee positiveKwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote kumfikiria yeye. Niokoeni mwenzenu jamani Jamii forum inaniharibia kufanya mambo mengine, muda wote nakesha nayo, nahisi ufanisi wangu wa kazi umepungua!
Na log out