Penzi la huyu limeninogea, niokoeni Jamani!!!!!!!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote kumfikiria yeye. Niokoeni mwenzenu jamani Jamii forum inaniharibia kufanya mambo mengine, muda wote nakesha nayo, nahisi ufanisi wangu wa kazi umepungua!

Na log out
 
Mkuu penzi jipya nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????? Angalia lisije likawa kifo cha mende mbeleni
 
Omba ban,ila tatizo ban ikiisha utarudi kule kule.CHEZA NA AKILI YAKO.
 
Asant shemeji! wiki end njema. Kuomba ban hapana nlishakutana na hiyo kitu, ingawa ilikuwa ya siku tatu nilihisi ni mwaka, looooooooh!
 
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote kumfikiria yeye. Niokoeni mwenzenu jamani Jamii forum inaniharibia kufanya mambo mengine, muda wote nakesha nayo, nahisi ufanisi wangu wa kazi umepungua!

Na log out

Kumbuka ku log out kila mara
 
ndyoko ndio mwana Jf wa Kwanza kuonana naye ana kwa ana, alifunga safari kutoka Manyara, kutembelea Bujibuji a.k.a B+ Bee positive
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom