Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Hakyamama ulikuwa wapi siku zote sijakuwowa???
 
Endeleza tu sasa .....
Imeshakuwa tamu afu UOE kabisa......Maana mtoto ndio huyooooooo:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Mi ata sielewi nkuambiaje we mwenyewe unaonekana unataka kote ili upate malezi.
 
Kosa ulifanya tokea mara ya kwanza,ukishaoa hupaswi kuanzisha mahusiano ya kudumu mahai popote,kwingine,na haya magonjwa ya sasa hivi!Na je unapokuwa kwako na mkeo usiku unajua yeye anakuwa wapi?Mimi kwa uzoefu wangu wanawake wa aina hiyo huwa ni waongo na kama sikosei umesema ni single mother,kwanini aliyemzalisha hakumuoa?Jiulize sana na iko siko utakuja uona ukweli.Inawezekana ni mzoefu wa kuvunja nyumba za watu,thats why aliyemzalisha pia may be alikuwa mume wa mtu.Nakueleza hivyo kwani hata mimi nilikutana na hali kama hiyo na iliniletea sana shida mke wangu alipojua ila nashukuru mungu nimeweza kuachana naye mwaka sasa na nimejifunza kutokana na hilo,na pia uzinzi si kitu kizuri kabisa wapende wanao na mkeo.
 
Unadanganywa, Anatafuta Tu Pa Kupumzishia Shda Zake. Mbele Utajuta. Chepuka Kwa Akir Wewe Sio Kuanzisha Uhusiano Wa Kudumu, Atakuja Mwingne Zaid Ya Huyo, Nae Utaoa?
 
Unadanganywa, Anatafuta Tu Pa Kupumzishia Shda Zake. Mbele Utajuta. Chepuka Kwa Akir Wewe Sio Kuanzisha Uhusiano Wa Kudumu, Atakuja Mwingne Zaid Ya Huyo, Nae Utaoa?

hili nalo neno mkuu.thanx much
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…