Penzi la daktari tamu jamani

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby. Tabasamu la kuibia...... daaah
 
hahahahhaahha ivi kumbe Tized ni Dr??
aya atujuze wenzie ni dr wa mapenzii ama wa binadam ama wa phd?
yasije kuwa yale ya Hadija Kopa na Tx mpenzi wake
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby.

call box, public toilet, kiti cha basi, nguo ya mtumba!!! majina yote yanakufaa kama ni gari ungekua unasoma kilomita za mbinguni kabisa
 
Yule ulonasa kwake states keshakumwaga au ni mambo ya UWONGO NJOO UTAMU KOLEA!!!!!!
Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby.
 
Kasinde penzi jipya linakuzingua, ukweli wa kunasa huwa haupimwa kwa kungonoka ila unatoka uvunguni mwa moyo wa mtu, kwasasa ngonokeni weeee then tupe matokeo baada ya mwaka yaani mrejesho wa thread yako na dr wako wa ngono.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…