Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
- #81
Sawa mkuuKinachokukwamisha ni kushindwa kukubali kama hupendwi.
Sawa mkuuKinachokukwamisha ni kushindwa kukubali kama hupendwi.
YatimaKamsemee kwa babaake
Sina maumivu Nina keroUshauri wetu hauta ponya maumivu yako pengine unakunjwa haswa haswa na unakunjika
Siri ya moyo pengine ujasiri wako kuandika ukakusaidia kutuhadaa sisiSina maumivu Nina kero
Kamsemee kwa nduguzeYatima
unachofanya kwa huyo anayepiga missed call 8 hupokei unaona ni sawa.Mimi sio muhanga wa kuchangiwa pesa ziende kwa majeruhi
Kama sura na tako unalo na ni mweupe njoo tuyajenge. Ntakutumia meseji kila saa bando sio shida kwangu.Duuh Asante kwa ushaurii.. mtu unajitahidi kujishusha usionekane una ego ila mtu haoni thamani.. kusema ukweli sio kwamba nimesha fall in love hapana ni ile hali kuwa unataka tu upate mtu wa kutulia nae basi unasema utaachana na wangapi umshikilie mtu lakini yeye ni kama hakuoni wanaume mnaboa sana
Mwanamke wa kibongo akipata mtu wa hivyo nae anaanza nyodo za hatari. Mwanzo atafurahia sababu hajazoea ila ghafla atakinai na kuona usumbufu.Utampata atakaekupa attention mpk umuone kero nakwambia hata ukienda toi atataka video call,, ni jambo la muda tu kuwa na subira
Uko sahihi inatakiwa athamini utu wake kabla ya hisia za kimwili ndo ataweza kutoka huko anakofanyiwa nyodo,Mwanamke wa kibongo akipata mtu wa hivyo nae anaanza nyodo za hatari. Mwanzo atafurahia sababu hajazoea ila ghafla atakinai na kuona usumbufu.
Unaiomba unaanza kupewa vipengele. Unapiga simu anashika anapojisikia yeye nyodo kibao. Unaanza kuitwa mlalamishi 😂
Ukija kustuka kumbe kuna muhuni tayari kashapindua meza. Anapigiwa simu yeye sio wewe tena wewe kazi yako inakuwa kuombwa hela tu😄. Huyo ndio mwanamke wa Kibongo alivyo.
Huko anapofanyiwa nyodo hawezi kuacha kirahisi. Atajifanya anasusa ila akivutiwa waya tu anapoozwa na kuliwa chaap. Kisha routine ya mikausho inaendelea.
Alivyoniambia kwamba kila siku natakiwa kumpigia sm basi nikaamua kufanya hvyoAlifanyaje kukubadilisha nijaribu
Tofauti ni kuwa mmoja nina uhusiano nae mwinginee sina kosa langu nini hapounachofanya kwa huyo anayepiga missed call 8 hupokei unaona ni sawa.
ila we ukifanyiwa hivyo na msukuma unakuja kubandika tangazo jf. unasahau what goes Around comes Around
Sura sina shepu sina yaani bayabaya tu hapa 😒Kama sura na tako unalo na ni mweupe njoo tuyajenge. Ntakutumia meseji kila saa bando sio shida kwangu.
Mizani ibalansi yaani usiwe kero.. yaani shobo nusu mikausho nusu hapo utatoboa kwa mwanamkeMwanamke wa kibongo akipata mtu wa hivyo nae anaanza nyodo za hatari. Mwanzo atafurahia sababu hajazoea ila ghafla atakinai na kuona usumbufu.
Unaiomba unaanza kupewa vipengele. Unapiga simu anashika anapojisikia yeye nyodo kibao. Unaanza kuitwa mlalamishi 😂
Ukija kustuka kumbe kuna muhuni tayari kashapindua meza. Anapigiwa simu yeye sio wewe tena wewe kazi yako inakuwa kuombwa hela tu😄. Huyo ndio mwanamke wa Kibongo alivyo.
Huko anapofanyiwa nyodo hawezi kuacha kirahisi. Atajifanya anasusa ila akivutiwa waya tu anapoozwa na kuliwa chaap. Kisha routine ya mikausho inaendelea.
😀 watu mna masihara mpk muambiwe wajibu wako HujuiAlivyoniambia kwamba kila siku natakiwa kumpigia sm basi nikaamua kufanya hvyo
Unajua mim ni wale walioanza mapenzi ukubwani😀 watu mna masihara mpk muambiwe wajibu wako Hujui
ThankyuPole sana mkuu
Unataka kumpiga na kitu kizito? Hapana acha naye! Yani mi hata nimuelewe vipi mtu nakusahau dk 1 hapo napo nina masters aisee!!Sawa mkuu ila Ngoja kwanza huyu sifanyi haraka kumuacha namsikilizia kwanza