Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Kama ulimpata mtandaoni basi hesabu maumivu, simba hapendi mizoga.

Kama alikutongoza basi ni ana dharau, na hakuhitaji na hakupendi.

Kotekote ni za uso, mkuu hamnaga mtu anakua bize kwa kinachompa amani, furaha na utulivu.

Usijedhani akipata genye ndio atakuja mbio, unajidanganya. Mpaka anakulamba mikausho mikali jua kuna namna anayojua yeye kujiridhisha, wewe ni kama backup ya mbali kabisa.

Mkuu hajavutiwa na wewe ila anashindwa jinsi ya kukwambia.

Pole sana.

Enewei mimi nipo single lakini.
 
Ngoja kwanza nipeleke milion 25 zangu za hesabu za mwezi Oktoba bank maana uchafuzi ulivuluga utaratibu, kisha nitalejea hapa kukupa muongozo, anyway ukiona nimechelewa unaweza kunicheki PM maana naweza kusahau au kupitiwa.
 
Wasu

Wasukuma hatupo hivyo ni vile tu unafiki hatuuwezi! Mtu hajakupenda achana naye sio kila anayekutongoza ndio wa milele, wengine huwa wanatongoza kujifurahisha au wako insecured tu, sa ingine mtu anapita zake kama upepo kwako shwaaa! And maybe kapata mtu sahihi ndani ya huo muda mliotafutana au karudiana na ex wake! Jifunze kusoma alama za nyakati and make yourself useful kwenye mambo yako! Or else utakonda wewe!!
Sawa mkuu ila Ngoja kwanza huyu sifanyi haraka kumuacha namsikilizia kwanza
 
Kuna watu tu wanachokaga kuongea kwenye simu kila siku,mfano mim hii tabia nilikuwa nayo ila wife ndo alinibadilisha tulikuwa tunaishi mbali kama km 30

zAman niliamin mpenz inatakiwa umpigie simu hata mara mbili kwa wiki kumbe ni kila siku na kila mara inatakiwa muwasiliane au mchat
Kama ulimpata mtandaoni basi hesabu maumivu, simba hapendi mizoga.

Kama alikutongoza basi ni ana dharau, na hakuhitaji na hakupendi.

Kotekote ni za uso, mkuu hamnaga mtu anakua bize kwa kinachompa amani, furaha na utulivu.

Usijedhani akipata genye ndio atakuja mbio, unajidanganya. Mpaka anakulamba mikausho mikali jua kuna namna anayojua yeye kujiridhisha, wewe ni kama backup ya mbali kabisa.

Mkuu hajavutiwa na wewe ila anashindwa jinsi ya kukwambia.

Pole sana.

Enewei mimi nipo single lakini.
Mkuu hutii moyo unavunja kabisaa
 
Kuna watu tu wanachokaga kuongea kwenye simu kila siku,mfano mim hii tabia nilikuwa nayo ila wife ndo alinibadilisha tulikuwa tunaishi mbali kama km 30

zAman niliamin mpenz inatakiwa umpigie simu hata mara mbili kwa wiki kumbe ni kila siku na kila mara inatakiwa muwasiliane au mchat
Alifanyaje kukubadilisha nijaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom