Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Kiburi uwe Nacho lakini angalia na nani unamfanyia kiburi mtu hana shida yoyote kanyooka hana makandokando kiburi cha nini
Ubaya nyinyi huwa hamueleweki. Asiye na kiburi mnamuona ni clingy na mnamdharau. Li bad boy lenye kiburi ndo mnaona linafaa. Hamjawahi kueleweka mnataka nini. Mwanaume kuwa na kakiburi ka kulindia brand ni muhimu sana!😂
 
Yani huyo ni mwepesi maana ni wazi nae anakupenda ila kiburi kinamzidi

mi asbh tu ningemuonyesha nyodo ni nini
Aisee mahusiano yangu mengi sababu kuu kuvunjika ni tabia kama hiyo.. nahitaji wiki kujishusha nikiona siwezi na mimi napiga kimya.. huyu najaribu kuvumilia maana najiona kama nitaachana na wangapi kwa style Hii Ila sasa ndio hivyo inabidi tu iwe hivyo
 
Ubaya nyinyi huwa hamueleweki. Asiye na kiburi mnamuona ni clingy na mnamdharau. Li bad boy lenye kiburi ndo mnaona linafaa. Hamjawahi kueleweka mnataka nini. Mwanaume kuwa na kakiburi ka kulindia brand ni muhimu sana!😂
Ndio maana nasema inabidi umsome mtu ni wa aina gani yaani unapata mwanamke amenyooka katulia halafu unaleta kiburi mara nyingi sisi tunatafsiri kuwa Hakuna upendo
 
Aisee mahusiano yangu mengi sababu kuu kuvunjika ni tabia kama hiyo.. nahitaji wiki kujishusha nikiona siwezi na mimi napiga kimya.. huyu najaribu kuvumilia maana najiona kama nitaachana na wangapi kwa style Hii Ila sasa ndio hivyo inabidi tu iwe hivyo
Utampata atakaekupa attention mpk umuone kero nakwambia hata ukienda toi atataka video call,, ni jambo la muda tu kuwa na subira
 
Utampata atakaekupa attention mpk umuone kero nakwambia hata ukienda toi atataka video call,, ni jambo la muda tu kuwa na subira
Yuko hapa ananipigia simu tangu Asubuh sipokei missed calls zaidii ya 8 kama tunadaina ila ndio hivyo nipo na jitu lenye kiburi cha uzima
 
Unafikiri wanawake tunashindwa kuvumilia ni suala la sasampa kama zipo na zinatolewa tunavumilia huku unatafuta wa kukuchartisha
😂😂😂😂!! Sasa kama umeamua kumwaga machozi kwenye range kuliko kucheka kwenye phoenix, hamna tabu, ni uamuzi wako, ndio maana nikasema sie ushauri wa kukupa hatuna
 
Aisee mahusiano yangu mengi sababu kuu kuvunjika ni tabia kama hiyo.. nahitaji wiki kujishusha nikiona siwezi na mimi napiga kimya.. huyu najaribu kuvumilia maana najiona kama nitaachana na wangapi kwa style Hii Ila sasa ndio hivyo inabidi tu iwe hivyo
Hata mimi napitia changamoto inayofanana na yako, kwa wadada wengi ninaowatongoza, nikiwa-text wanajibu vizuri, ila nisipowatafuta hawanitafuti, inatakiwa kila siku nianze kuwatafuta mimi, nikikausha mahusiano yamekufa Nampendamilele
 
Wasu
Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu

Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹

Nina penzi jipya ila ni kama la zamani imagine penzi lina mwezi lakini mawasiliano ni ya manati.. tangu jana nilimpomtafuta aka respond kwa sms 3 nikapiga usiku simu yangu haikupokelewa.. Naona tu Asubuhi Kijana ana view status yangu ni kama hakumbuki uwepo wangu.

Mimi kawaida sio msumbufu wa kupiga simu sana au sms kila saa.. kanuni yangu huwa situmi sms juu ya sms wala kupiga simu juu ya simu, naamini kwamba kila mtu ana maisha yake nnje ya mahusiano kwaiyo najiwekea mipaka ila tabia ya kughost huwa inanikwza mno

Huyu jamaa nilimuuliza why waliachana na mtu wake akajibu kuwa ex wake alimwambia hayuko romantic yaani yuko bize sana kiasi kwamba mawasiliano ni hafifu.. nikaona kawaida maybe ex alitaka sana attention zile za umekula, umelala, sijui umekunywa maji .. nikajiona mimi huo utoto sina lakini duuh na mimi ni kama yananishinda najaribu kumuweka karibu yangu lakini hasomeki

Nafahamu mishe zake ni mtu ambae yuko bize kiasi chake lakini sasa kama mtu ana uwezo wa kuingia online basi hakosi muda wa dakika 5 kunijulia hali

Kila siku kuwa mimi tu ndio wa kumtafuta nachoka.. kinachoniuma sio kumtafuta wa kwanza ni ile umemtafuta mtu halafu harespond vile utegemeavyo ama unapiga simu haipokelewi

Ina maana anakosa muda hata wa kupiga dakika 2 tukazungumza ina maana haendi chooni, hali chakula yaani ni kitu kina nikeraa.. na kwa vile husiano jipya nashindwa hata kutoa kero zangu nisionekane kisirani

Kabila lake ni sukuma sijui hawa watu ndio asili yao au kujiendekeza tu

Nahitaji ushauri namna ya kuishi na huyu mtu au ndio red flags nitimue mbio mapema
Wasukuma hatupo hivyo ni vile tu unafiki hatuuwezi! Mtu hajakupenda achana naye sio kila anayekutongoza ndio wa milele, wengine huwa wanatongoza kujifurahisha au wako insecured tu, sa ingine mtu anapita zake kama upepo kwako shwaaa! And maybe kapata mtu sahihi ndani ya huo muda mliotafutana au karudiana na ex wake! Jifunze kusoma alama za nyakati and make yourself useful kwenye mambo yako! Or else utakonda wewe!!
 
Kuna watu tu wanachokaga kuongea kwenye simu kila siku,mfano mim hii tabia nilikuwa nayo ila wife ndo alinibadilisha tulikuwa tunaishi mbali kama km 30

zAman niliamin mpenz inatakiwa umpigie simu hata mara mbili kwa wiki kumbe ni kila siku na kila mara inatakiwa muwasiliane au mchat
 
Duhh kila mara tena! Mi siwezi vya hivi😢
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom