Hiyo tabia wadada wengi wanayo, kuna mdada mmoja nlichukua namba yake, nianze kujenga ukaribu nae ili hatimae nimtongoze, nlimtext Whatsapp kimya hajibu, meseji ya kawaida hajibu, nlimfata uso kwa uso kumwambia nlimtumia meseji akaniambia hafunguagi meseji, nikajiongeza nikaona huyu hataki ukaribu na mimi na hajavutiwa kimapenzi na mimi, nikamuacha
Hee fast-forward mwaka ukapita, aliolewa kwingine siku tunapiga story aliniambia alivoniona mara ya kwanza alijua mimi ndo mume wake mtarajiwa, hapo sasa mm kichwani nkajisemea wtf, kama aliona mimi namfaa kilichomfanya anikaushie ni nini 🫢😯hata kujibu hi through text ilimshinda
Kapeace