Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Penzi jipya mawasiliano ya zamani

Unajua mim ni wale walioanza mapenzi ukubwani
Huyu nae ni hivyohivyo kaanza ukubwa kwaiyo hana exposure ya mahaba.. kwa maelezo yake ameanza kukitembeza two years ago kwaiyo hata cycle yake ya wanawake inaweza kuwa mimi ni wa 4 or 3 na kwa muda niliokaa nae nimeonaa sio mtu wa mambo mengi.. anaweza pigiwa Simu na kama kachoka atakwambia pokea uongee nae.. simu yake Hakuna password unaweza kagua hukuti kitu.. yaani bado hajaingiwa na dunia ki hivyo 😀
 
Mkuu hutii moyo unavunja kabisaa
Ni kweli mkuu, mimi kuna kipindi nilikua aina ya huyo mwanaume na si ajabu ni mimi huyo.

Yaani inakua hivi..
Jamaa inawezekana alikupenda mwanzoni, ila siku zinvyozidi kwenda anakuchukulia wa kawaida.
Na ambavyo na wewe hutaki kumsumbua (japo ndo uanamke wenyewe huo), basi ndo kabisaa anakupotezea.

Kuna nyuzi nyingi humu zinaelezea kua mwanaume huwa anahusudu/kuhudumia kile kilicho karibu yake zaidi kuliko kilicho mbali nae.
Kadri unavyojiweka mbali nae anazidi kukaa mbali na wewe.

Nakushauri uanze usumbufu, pamoja na yeye kutokua romantic we msumbue kwa texts hivyo hivyo.
 
Ni kweli mkuu, mimi kuna kipindi nilikua aina ya huyo mwanaume na si ajabu ni mimi huyo.

Yaani inakua hivi..
Jamaa inawezekana alikupenda mwanzoni, ila siku zinvyozidi kwenda anakuchukulia wa kawaida.
Na ambavyo na wewe hutaki kumsumbua (japo ndo uanamke wenyewe huo), basi ndo kabisaa anakupotezea.

Kuna nyuzi nyingi humu zinaelezea kua mwanaume huwa anahusudu/kuhudumia kile kilicho karibu yake zaidi kuliko kilicho mbali nae.
Kadri unavyojiweka mbali nae anazidi kukaa mbali na wewe.

Nakushauri uanze usumbufu, pamoja na yeye kutokua romantic we msumbue kwa texts hivyo hivyo.
Mkuu nashukuru kwa ushauri niufanyia kazi sasa

Sema tunaenda vizuri naona 😆
 
Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu


Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹

Nina penzi jipya ila ni kama la zamani imagine penzi lina mwezi lakini mawasiliano ni ya manati.. tangu jana nilimpomtafuta aka respond kwa sms 3 nikapiga usiku simu yangu haikupokelewa.. Naona tu Asubuhi Kijana ana view status yangu ni kama hakumbuki uwepo wangu.

Mimi kawaida sio msumbufu wa kupiga simu sana au sms kila saa.. kanuni yangu huwa situmi sms juu ya sms wala kupiga simu juu ya simu, naamini kwamba kila mtu ana maisha yake nnje ya mahusiano kwaiyo najiwekea mipaka ila tabia ya kughost huwa inanikwza mno

Huyu jamaa nilimuuliza why waliachana na mtu wake akajibu kuwa ex wake alimwambia hayuko romantic yaani yuko bize sana kiasi kwamba mawasiliano ni hafifu.. nikaona kawaida maybe ex alitaka sana attention zile za umekula, umelala, sijui umekunywa maji .. nikajiona mimi huo utoto sina lakini duuh na mimi ni kama yananishinda najaribu kumuweka karibu yangu lakini hasomeki

Nafahamu mishe zake ni mtu ambae yuko bize kiasi chake lakini sasa kama mtu ana uwezo wa kuingia online basi hakosi muda wa dakika 5 kunijulia hali

Kila siku kuwa mimi tu ndio wa kumtafuta nachoka.. kinachoniuma sio kumtafuta wa kwanza ni ile umemtafuta mtu halafu harespond vile utegemeavyo ama unapiga simu haipokelewi

Ina maana anakosa muda hata wa kupiga dakika 2 tukazungumza ina maana haendi chooni, hali chakula yaani ni kitu kina nikeraa.. na kwa vile husiano jipya nashindwa hata kutoa kero zangu nisionekane kisirani

Kabila lake ni sukuma sijui hawa watu ndio asili yao au kujiendekeza tu

Nahitaji ushauri namna ya kuishi na huyu mtu au ndio red flags nitimue mbio mapema
Kwa nini unayaeleza au kuyauliza haya hapa, Baraka ya kumuandikia haya na ukipata jibu ujue kama unavumilia au la. Kila ulichoandika hapa, muulize mhusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom