RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Story imeanza upya, huyu Peniela vipi? Mbona ye alimgonganisha blaza Eli na Jason na akawalimisha waongee kiume wayamalize? Na kwanini Matthew mpaka sasa hajamwambia kisa cha Eli na Naomi kwamba why it happened?
I still see them ending up together anyway, alikiri hadi kwa John kuhusu upendo wake kwa Eli na recently, anakubali kuwa ni mtu wa kubadilika kuhusu wanaume to the extent that she wishes blaza Eli na Naomi wawe wamekufa kwenye ule moto!
Hadithi imetushika!