verymilungu
Member
- Mar 26, 2015
- 18
- 1
wote munao toa maoni,hamujui kinacho endelea viongoz wadoni wanajuana ndomaana pengo hajashitaki .
Gwajima hana adabu..!!
Kama ni kweli amemsamehe, akamtembelee basi hospitali, akiiga mfano wa Pope John Paul II!
Papa John Paul II alimsamehe Mehmet Ali aliyetaka kumwua kwa risasi, na hata kumtembelea gerezani alikokuwa amefungwa!
Tunafundishwa kuwasamehe wakosaji. Japokuwa ni muhimu kuweka tafakari ya kutosha kabla ya kukurupuka kufyatua matusi hadharani. Siyo kwa wakubwa tu bali kwa yeyote yule, kwani Mungu anawapenda hata waovu
sikutegemea pengo awe muongo kiasi kile. anasema hamjui gwajima?hahaha. hapo ndipo utaujua unafiki wa pengo. ukitaka kumjua pengo, angalia hata maaskofu wenzie wa katoliki wamamchunia hawajamtetea baada ya matusi. kuna mgogoro mkubwa sana ndani ya katoliki hata maaskofu wenzie wamemchoka huyo jamaa.ila asifikiri pinda atakuwa waziri mkuu milele.
Pengo ni kiongozi wa kiroho na ni moja ya viongozi wakubwa sana hapa nchini. Haingii akilini umfananishe na mtoto aliyevaa pampasi halafu wakuache hivi hivi. Viongozi wa kisiasa mnaweza kutukana kama mnavyotukana lakini viongozi wa kiroho wanahitaji heshima hasa kwa mtu kama Pengo.
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe wengine.
Mkuu, usisahau hata anayedaiwa kuwa katukana ni mkuu wa kiroho, na wote wametoa hayo "matusi" wakiwa kwenye mimbari. Wanajuana lugha zao na ndio maana Pengo Kasamehe. Huwezi kujua ameelewa vipi na hayo yanayodaiwa kuwa matusi. Ametumia Biblia Gwajima katika kusema aliyosema. Tena anaongozwa na Timotheo aliyeambiwa na Paulo Mtume "Kemea, Onya,..... mtu asiudharau ujana wako....." Pana kosa gani kama anamwonya mwenzake kwa ukali ili ujumbe ueleweke haraka? Sasa Hizo sharia kumbe zinaegemea kwa maneno wayasemapo watu wa dini lakini maneno hayohayo yakisemwa na wanasiasa ni ruksa? Hapo ndipo penye tatizo langu kwamba kuna undumila kuwili hapo. Kama vile Warioba na Lowasa walivyonyamaza kimya baada ya kuudhiwa hata bila kusaidiwa na sharia, Pengo naye amenyamaza kimya na kusamehe, ilipaswa iwe pasipo kuingiliwa na hiyo inayodaiwa kuwa sharia. Mbona mitaani tena kwa vipaza sauti mihadhara inaendeshwa ikikashifu dini nyingine kiasi cha wanaoudhiwa kustahili kujibu mapigo lakini wananyamaza kimya wakati hiyo sharia nayo haitumiki kubalance?Pengo ni kiongozi wa kiroho na ni moja ya viongozi wakubwa sana hapa nchini. Haingii akilini umfananishe na mtoto aliyevaa pampasi halafu wakuache hivi hivi. Viongozi wa kisiasa mnaweza kutukana kama mnavyotukana lakini viongozi wa kiroho wanahitaji heshima hasa kwa mtu kama Pengo.
Pengo ni Askofu wangu ila amejiondolea heshima mwenyewe, hata mimi kondoo wake nimemdharau kwa undumilakuwili.
i hope cardinal anajua alifanyalo hayao yanamuhusu yeye binafsi kama katamka hana kinyongo hivyo pia anaweza kufanya hivyoKama ni kweli amemsamehe, akamtembelee basi hospitali, akiiga mfano wa Pope John Paul II!
Papa John Paul II alimsamehe Mehmet Ali aliyetaka kumwua kwa risasi, na hata kumtembelea gerezani alikokuwa amefungwa!
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
mkuu kesi bado haijaenda mahakamani ndo pilisi walimuita kwa mahojiano ili kama wakimkutana ha hatia ndo wampeleke mahakamani ila sasa mtukanwa kashasameheKwani Aliyepeleka Kesi mahakamani ni nani?
na kama PENGO Hajashtaki Sasa GWAJIMA Anatuhumiwa na nini? au anahojiwa kwa lipi?
Something bhind the Scene
i hope cardinal anajua alifanyalo hayao yanamuhusu yeye binafsi kama katamka hana kinyongo hivyo pia anaweza kufanya hivyo
Kesho mtasikia Gwajima kapona, Pengo asisahau tu kurudisha silaha zake za maangamizi.
Hii mijitu huwa inakabidhiwa kwa Lucifer kule Vatican (Ataebisha ushahidi nnao, huwa sikisii) na hutembea na mijinni ile mikubwa mikubwa, si mchezo.
Gwajima vijinni vyake bado viduchu havikuweza kupambana na watoto wa Lucifer.
Cheza na Raia wa Vatican? ushetani mtupu kule.
Mkuu, usisahau hata anayedaiwa kuwa katukana ni mkuu wa kiroho, na wote wametoa hayo "matusi" wakiwa kwenye mimbari. Wanajuana lugha zao na ndio maana Pengo Kasamehe. Huwezi kujua ameelewa vipi na hayo yanayodaiwa kuwa matusi. Ametumia Biblia Gwajima katika kusema aliyosema. Tena anaongozwa na Timotheo aliyeambiwa na Paulo Mtume "Kemea, Onya,..... mtu asiudharau ujana wako....." Pana kosa gani kama anamwonya mwenzake kwa ukali ili ujumbe ueleweke haraka? Sasa Hizo sharia kumbe zinaegemea kwa maneno wayasemapo watu wa dini lakini maneno hayohayo yakisemwa na wanasiasa ni ruksa? Hapo ndipo penye tatizo langu kwamba kuna undumila kuwili hapo. Kama vile Warioba na Lowasa walivyonyamaza kimya baada ya kuudhiwa hata bila kusaidiwa na sharia, Pengo naye amenyamaza kimya na kusamehe, ilipaswa iwe pasipo kuingiliwa na hiyo inayodaiwa kuwa sharia. Mbona mitaani tena kwa vipaza sauti mihadhara inaendeshwa ikikashifu dini nyingine kiasi cha wanaoudhiwa kustahili kujibu mapigo lakini wananyamaza kimya wakati hiyo sharia nayo haitumiki kubalance?
Nchi hii tumezoea kuona sharia zinafanya kazi tu pale akiguswa mkubwa wa kisiasa aliyeko madarakani na sio vinginevyo. Raia wakipigwa mabomu na mapolisi, badala ya sharia kuwatetea wananchi hao viongozi wanasifia na kuwapandisha vyeo mapolisi kwa kazi nzuri na hata kuwapa hamasa "Piga Tu, hakuna namna nyingine sasa, tumechoka sasa" Raia wakijitetea kujibu mapigo, viongozi wanasema sio haki, ni lazima sharia zifuatwe bila kujichukulia madaraka mkononi. Akiguswa polisi hapo ndo usiseme, watasakwa raia waliomo na wasiokuwemo. Polisi wanadhaniwa kufanya "sharia" ifanye kazi kwa shinikizo la watawala. Ukitoka madarakani ndio unaweza kuytambua makali ya mtindo huo. Simtetei mtu hapo, kwa sababu wote wawili hao wamekosea kila mtu kiaina yake. Sie wa pembeni hatujui kina hasa cha majibizano yao. Mungu anapotaka kumwonya mtu wake anatumia mbinu mbalimbali ikiwemo na hii aliyoitumia Gwajima. Sisi ndio tunasema amekosea sana na katumia lugha kali. Tulitaka Pengo abembelezwe kwa kuasi alikoasi na kusaliti wenzake. Mungu hana upendeleo anapotaka kumrudi mtu. mambo ya kiroho tuwaachie wenyewe tusijekuwa tunapambana na sauti ya Mungu. Pengo ameelewa na maisha yanaendelea, anajua anavyoongea na Mungu wake kusamehe. yeye ni binadamu, usiombe Mungu akaamua kukuadhibu, inauma mno!! Kama unabisha mtembelee Mfalme Daudi hata akanyimwa kujenga Hekalu la Mungu na kazi hiyo akaachiwa Mfalme Suleman. Mwache Mungu aitwe Mungu, hatuwezi kumchagulia njia za kuonya walio wake.
Ingekuwa vyema zaidi kama angeenda mbali zaidi ili kuifuta kesi polisi alikopeleka malalmiko yake.Huo ndiyo utakuwa msamaha wa kweli.Kama alivyofanya Hayati Pope Paul II