Wewe unayejidai una akili lakini unashindwa kuelewa kwa nini all of a sudden nchi imegawanyika kidini namna hii kwenye awamu hii kuliko wakati mwingine wowote! Nyerere pamoja na mapungufu yake yote aliwafanya watz kujiona kitu kimoja! Nilimsikia anayejiita Prof Lipumba kwamba kwa asili watz ni watu wa amani bila kujua kwamba amani iliyopo imetengenezwa na haijaja yenyewe!
Salidalama punguza jazba. Kwani Uganda kuwa OIC na Kenya kuwa na mahakama ya kadhi lazima Tanzania tuige? Hakuna mtu anapinga Waislam kujiunga OIC tatizo ni kuingiza nchi. Tafsri "Organization of Islamic Countries" Umoja wa Nchi za Kiislam, sasa kama TZ siyo nchi ya kiislam inakuwaje mwanchama kwenye jumuia ya kiislam. Hakuna tatizo jiungeni tu lakini msiingize nchi. Suala la kadhi nalo mmeshaambiwa ianzisheni lakini muiendeshe kwa pesa zenu siyo za walipa kodi, kama kanisa katoliki lilivyo na mahakama ya kanisa isiyotegemea pesa ya walipa kodiHuu ni unafiki na uzushi usio mfano! Jee, Tanzania kujiunga na OIC na kuwa na Mahakama ya Kadhi ndio imeshageuka kuwa Jamhuri ya Kiislam? huo ni upumbavu wa hali ya juu.
Nchi ngapi duniani zina hizo Mahakama za Kadhi na wamejiunga na OIC mbona hazijawa Jamhuri za KiIslam?
Jirani zetu, Uganda na Msumbiji ni memba wa OIC na Kenya kuna Mahakama ya Kadhi, Jee ni lini ulizisikia zikawa Jamhuri za kiIslam?
Wacha upumbavu!
nadhani ulisikia ushauri uliotolewa na balozi wa Kenya nchini Tanzania kuhusu mahakama za kadhi na jinsi zilivyo waletea matatizo. Halafu issue siyo mahakama, issue ni kwa nini waislamu walazimishe kwamba mahakama hizi ziendeshwe kwa kodi za wananchi ambao wengine siyo waislamu?? Hili ndo tunalolipinga.
Sasa hivi mmeruhusiwa muanzishe wenyewe na mziendeshe wenyewe mnaanza kulalama, sijui mnataka msaidiweje, na mmezidi kupenda vitu vya bure. Chuo kikuu mmepewa bure, huku wenzenu wanajenga kwa pesa ya sadaka na michango kidogo.
Hawawezi kuongelea huo wa waislam kwa sababu lengo lao siyo content bali ni nani kautoa. Hawa jamaa ni haters wa kiwango cha ajabu kabisa. Bahati nzuri wamekuta upande mwingine unajua ku-ignore hivyo chokochoko zao zinaishia kwenye "deaf ear"Nina kila mara maongezi yako upande wa waraka wa wakatoliki pekee na ule mwingine si waraka kwamba nao uongelewe hapa ?halafu naona tuna lalamika na kuulaumu waraka hivi jamani yaliyo andikwa mle kwenye waraka hayako Tanzania ?
Je kama vyama vya siasa havikuweza kuyasema cauase hawayaoni ina maana kwamba watu wengine wasiseme ?
Nimewah kusoma hapa hapa JF ikisemwa kwamba Waislam ni majority Tanzania kama ndiyo hivyo sasa kelele za nini si watakuwa overwhelmed kweney uchaguzi na kuwachagua CCM ugumu uko wapi ?
Ndugu yangu magezi kwa lugha yetu (ambayo nimetafsiri hapa) huwa wana misemo kama "kumwimbia kiziwi utamaliza nyimbo" au 'kumumulikia kipofu utamaliza nyasi' Huyu Salidalama ni kipofu na kiziwi hatasikia wala hataonanadhani ulisikia ushauri uliotolewa na balozi wa Kenya nchini Tanzania kuhusu mahakama za kadhi na jinsi zilivyo waletea matatizo. Halafu issue siyo mahakama, issue ni kwa nini waislamu walazimishe kwamba mahakama hizi ziendeshwe kwa kodi za wananchi ambao wengine siyo waislamu?? Hili ndo tunalolipinga.
Sasa hivi mmeruhusiwa muanzishe wenyewe na mziendeshe wenyewe mnaanza kulalama, sijui mnataka msaidiweje, na mmezidi kupenda vitu vya bure. Chuo kikuu mmepewa bure, huku wenzenu wanajenga kwa pesa ya sadaka na michango kidogo.
Mahakama za serikali sasa unataka ziendeshwe na nani!!!!!!!!!!!!!grrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!Ikiwa hivyo ni kwa nini mahakama zingine zozote ziendeshwe kwa pesa za walipa kodi? si zijiendeshe zenyewe tu!
Ikiwa hivyo ni kwa nini mahakama zingine zozote ziendeshwe kwa pesa za walipa kodi? si zijiendeshe zenyewe tu!
Unaongea nini wewe? Una akili timamu kweli?Pengo asitake kubabaisha watu.
Asitake kujifanya ana code of conduct and ethics.
Kama kweli anajali ethics angesimama kidete dhidi ya 'mapadri wanaotafuna wavulana' na wanaotafunana 'wenyewenye kwa wenyewe' tena rasmi-yaani bila ya kuficha.
Kitabu chake mwenyewe kinasema hakuna sheria wala usafi utakaomsaidia mtu mbele ya Mungu, sasa yeye anatoa wapi authority ya kuhubiri usafi? Na iwe kwa faida gani?
Ushahidi huu hapa.
"For Christ is the end of the Law for righteousness to every one who believes" Romans 10:4
KItabu chake pia kinasema deeds are 'filthy rags'.
Kama vitendo vyema na usafi na uttifu kwa Mungu havimsaidii binaadamu kupata salvation why shoulod anyone care about being righteous and just?
Ameshajitega zamani ndani ya kitabu chake kwa hiyo hana authority ya kuhubiri maadili. Uadulifu hupatikana kwa kumuogopa Mungu.
Huwezi kuwaambia watu uadilifu hauna malipo mbele ya Mungu na njia pekeee ya kwenda peponi nikukubali Mungu amakufa msalabani kwa ajili ya dhambi zako na hapohapo kuwapa watu motisha ya kuwa safi-mtu awe safi kwa ajili ya nani kama usafi ni 'filthy rags' (tambara chafu) mbele ya Mungu.
Hana la kumfundisha mtu yoyote aliye makini.
Kama anataka siasa akajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa na afute mfano wa Dr. Slaa anayeheshimika kama mwanasiasa mahiri.
Ninyi mnaomponda Nyerere mna matatizo binafsi
Unaongea nini wewe? Una akili timamu kweli?
Hujui hata kujieleza sijui unajifunza kuongea!! Una umri gani? unasoma na kurudia sentensi na mantinki hata hueleweki. Siwezi kujibu kitu kisichoeleweka! Kajifunze kujieleza halafu ndiyo urudi hapa siyo kutupotezea muda.Kama unamini wewe unazo akili jibu maswali niliyoyauliza.
Hujui hata kujieleza sijui unajifunza kuongea!! Una umri gani? unasoma na kurudia sentensi na mantinki hata hueleweki. Siwezi kujibu kitu kisichoeleweka! Kajifunze kujieleza halafu ndiyo urudi hapa siyo kutupotezea muda.
Zijiendeshe zenyewe kivipi, fafanua!
Salidalama punguza jazba. Kwani Uganda kuwa OIC na Kenya kuwa na mahakama ya kadhi lazima Tanzania tuige? Hakuna mtu anapinga Waislam kujiunga OIC tatizo ni kuingiza nchi. Tafsri "Organization of Islamic Countries" Umoja wa Nchi za Kiislam, sasa kama TZ siyo nchi ya kiislam inakuwaje mwanchama kwenye jumuia ya kiislam. Hakuna tatizo jiungeni tu lakini msiingize nchi. Suala la kadhi nalo mmeshaambiwa ianzisheni lakini muiendeshe kwa pesa zenu siyo za walipa kodi, kama kanisa katoliki lilivyo na mahakama ya kanisa isiyotegemea pesa ya walipa kodi
Zawadingoda, omarlyisis, bull na wengineo imefika wakati mtumie busara kidogo. Chuki zenu za waziwazi kwa kanisa katoliki hazitawasaidia. Ninahaki kama siyo nyie lakini kuna ndugu zenu wanatibiwa kwenye hospitali na zahanati za kanisa hilo hilo. Hao hao wanatumia maji ya visima vilivyochimbwa na kanisa hilo hilo. Au ndio mambo ya baniani mbaya kiatu chake dawa?
Samahani sana kwa kuleta habari za uongo, OIC si kama ulivyofafanua wewe, sijui umeitowa wapi hiyo?
OIC ni Organization of Islamic Conference na si kama utakavyo wewe. Tafadhali usibabaishe watu, ukiandika uwe na uhakika na unachokiandika.
...
Mpaka sakata hilo halijafika mwisho hatujui hatima yake. Lakini moja ni sahihi, kuwa michezo kama hii mwisho wake si mzuri na inaweza kuleta umwagaji damu. Ukimya wa KIngunge nyakati za hivi karibuni si dalili nzuri, kwani simba mwenda kimya ndio mla nyama.
Kweli tunaoelekea ni kubaya....kwa mawazo kama haya!!!!
Mkuki kwa Mwislamu kwa Mkristo mchungu....wakati Serikali inapambana na "uchochezi" wa waislamu ilikuwa sawa na wala hakujaweza kuitumbukiza Tanzania katika migogoro lakini sasa imeshwakuwa hivi...Yaani akifanya uchochezi Sheikh PONDA serikali ina haki ya kuchukua hatua, akifanya Kadinali Pengo serikali haina haki wala wajibu wa kulishughulikia na zaidi inataka kuitumbukiza Tanzania katika migogoro..
Nakubaliana nawe 100%
Ni kweli PINDA ni mkatoliki mnyenyekevu lakini hili la UKATAOLIKI SAFI sijui ni vigezo gani unavitumia....unaweza kutuhabarisha zaidi?
Pinda kuongelea suala hili kama alivyofanya bungeni na hakuna aliyeaanz kumtukana na kumkejeli kama wanavyofanyiwa wasio wakatoliki ni jukumu lake kwa serikali na taifa lake. Kama ulivyosema, ni Pinda ndiye anaeweza kulishughulikia hili suala kwa mafanikio zaidi kuliko wengine lakini hilo ni jukumu lake kama waziri mkuu tuache kuanza kuspin mambo kufurahisha misimamo yetu iliyojaa USISI na UWAO....
omarilyas
Ama kweli tunakoelekea kubaya ... kama Omari naye amefikia pa kulinganisha waraka wa kikatoliki na kile alichofanya Ponda na wenzake wakati wa utawala wa Mkapa.
unapondea wanachoandika wenzako wakati na wewe unafanya kile kile tu walichofanya wenzako.
Mi nadhani, baadhi ya watu wanataka tu kumchafulia jina Kardinali Pengo. Kardinali ni kiongozi wa kanisa na yeye anafuata maadili. Kila mtu anajua kuwa ufisadi si kitu kizuri. Kila mtu anajua madhara ya ufisadi ni nini. Sasa mnaolipinga kanisa katoliki katika suala la kupambana na ufisadi, mnatoa "alternative" gani? Maana mnapinga tu lakini hamna cha maana mnachokizungumzia kuhusu ufisadi, ila mnapinga tu kwa sababu argument ya ufisadi imetoka kwa kanisa katoliki. Kama mnafanya hivi nadhani hamna pointi ya maana. Je mna chuki binafsi na kanisa katoliki kama yule mbunge aliyeanzisha mada hii bungeni?
Ikiwa hivyo ni kwa nini mahakama zingine zozote ziendeshwe kwa pesa za walipa kodi? si zijiendeshe zenyewe tu!