Mfalme Suleiman
Member
- Sep 7, 2009
- 5
- 0
Mkuu unazungumza kwa historia ya nchi gani?.Jamani taifa lolote haliwezi kuendelea pasipo wakosoaji tena wakosoao kwa bidii.taasisi za kidini ndio hasa chanzo cha kupigania haki, uhuru na amani ya nchi yoyote.kwa mantiki hii ni kwamba jasho la church movements kipindi kile lisije likapotea bure kwa kutotambua jitihada zao. naili iwe hivyo pengo anapigana kufa nakupona kuhakikisha kuwa serikali inapaswa kuwajibika juu ya ufisadi naona poa tuu. serikali na dini haviingiliani ila sasa ila sio sababu ya kukaa kimya kabisa na kuacha serikali inaendeshwa vibaya bila kuwaenzi waasisi waliopigania uhuru huu.
Sasa nani aliyoiozesha hii nchi kama si kanisa?. kwani kanisa ndio linalotawala tanzania kwa nyuma ya pazia
Tupe majina Muadhama Pengo. Acha kuzungumza kitendawili na mafumbo. We need specifics and not generalities. Ni nani huyo fisadi ili watu wamjue na wasimpigie kura ni nani Baba Askofu. La sivyo kauli yako itakuwa ni wimbo usiokuwa na Chorus. Tunakuheshimu Muadhama. La sivyo utaitwa mbeya.
Unajua eneo unaloliingia ni la siasa. Halina adabu hilo wasije wakakukwaruza Mkuu.
Nitarudia kusema waraka ulikuwa na malengo mazuri isipokuwa uwakilishi wake ndio umejaa utata. Kwa nini kanisa na hao waislaam wanashindwa kuorodhesha majina ya mafisadi?.. Dr. Slaa kawataja wote na ajabu baadhi ya viongozi wa dini hawakukubaliana naye leo iwe hao hao viongozi waliowabariki Mafisadi watuambie nani kiongozi bora?..Hivi kweli kumtambua fisadi kunahitaji msomi aliyebobea ktk masomo ya sayansi au ulokole!..
Pengo na Kikwete hawana tofauti, wote wanajifanya kuwajua mafisadi na wala rushwa lakini wanashindwa kuwataja kwa majina kama alivyofanya Dr. Slaa. Labda tumsadie Pengo, Jambazi Fisadi mmoja ni yule uliyekwenda nyumbani kwake na kumbariki kwa sala huku ukitoa shutuma kwa wanaomsulubu na tabia ya kusulubiana nchini Tanzania, kwa jina anaitwa Jambazi Fisadi Edward Ngoyai Lowassa.
Inaonekana wewe ndio mwenye jazba za kipayukaji, ukituko wako unajionyesha wazi unapojaribu kumtetea Pengo ilihali asilimia kubwa ya watu walioona matamshi ya Pengo nyumbani kwa Jambazi Fisadi Lowassa yalilenga zaidi kumsafisha Lowassa. Hakuna falsafa yoyote aliyoitumia Pengo kwenye matamshi yake siku ile. Kama huna cha maana cha kujibu ni bora unyamaze kuliko kutuletea pumba zako za kigoigoi hapa zisizo na kichwa wala miguu.Kwanza punguza jazba ili uwe objective, maana hapa ulipofikia unajiembarass tu.
Kumbukumbu zetu zinatuambia Pengo na viongozi wengine wa dini walikwenda nyumbani kwa Lowassa ktk ufunguzi wa kijarida kidogo alichokiandika mkewe, Reginna. Kijitabu kile kina religious merit, of course tukiacha ad hominem.
Na pia ktk mawaidha alichosema ni ktk yaleyale yaliyomo kwenye Bible ambayo kila anayeisadiki anayafahamu, nayo ni tusihukumu tusije tukahukumiwa au kipimo kilekile unachotumia kuhukumu ndicho hichohicho mja atakachotumiwa kwenye hukumu yake, hii sentensi ilikuwa ya kifalsafa zaidi na inahitaji uoni wa ndani kuielewa anamaanisha nini. Sasa mtu kama hakumuelewa ni vyema aulize badala ya kupayuka tu na matokeo yake wenye akili zao wanakuona kituko.
Miafrika yote mipumbavu tu.
koma we, labda wewe.
Inaonekana wewe ndio mwenye jazba za kipayukaji, ukituko wako unajionyesha wazi unapojaribu kumtetea Pengo ilihali asilimia kubwa ya watu walioona matamshi ya Pengo nyumbani kwa Jambazi Fisadi Lowassa yalilenga zaidi kumsafisha Lowassa. Hakuna falsafa yoyote aliyoitumia Pengo kwenye matamshi yake siku ile. Kama huna cha maana cha kujibu ni bora unyamaze kuliko kutuletea pumba zako za kigoigoi hapa zisizo na kichwa wala miguu.
Ni vigumu kwa mtu kama wewe ambaye ambaye ugoigoi kwako ni wa kuzaliwa kuelewa jambo lolote, kuendelea kuwa na mjadala nawe ni kitu kigumu sana na kisichowezekana, nadhani ni bora urudishe tu lile jina lako la Utindio wa Ubongo ambalo linaendana na uwezo wako mdogo wa kiakili, ndio maana hata uelewa wako katika yale matamshi ya Pengo yanaonyesha ufinyu wako katika kuchanganua mambo.Sioni cha ku-comment maana hamna jambo lolote constructive. Na nachelea kwamba kauli moja inaweza ikachukuliwa kwa namna tofauti na watu mbalimbali. Hivyo ndivyo binadamu tulivyo, somo lilelile lakini kuna wenye akili za kuelewa kwa haraka na wengine goigoi ambao kila siku wana trail behind na kumake fool of themselves.
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?