Mkirua, naona umeguswa pabaya sana. Ukitaka kulia lia, ukitaka kujinyonga jinyonge lakini nchi yetu hamtaiuza kamwe, si kwa madawa wala kwa Rozari. Wewe ni mshika mkia tu wala hujui kinachoendelea, tena uko nyuma sana hata kukusaidia ni kazi kwewli kweli.
Ungekuwa ni nyama ungeiva kwa umeme tu na kidogo kwa Gasi. Maana kichwa chako ni kigumu sana kuelewa, na hata ukielewa ni mwepesi sana kusahau. Fuatilia historia ya kanisa karoliki kwq kipindi cha miaka 30 tu iliyopita na angalia mabaya walyoyafanya bila kufichuana wenyewe kwa wenyewe. mKIRUA polleeeee!
Yaani Pengo anampa muda rais wa Jamhuri ya Tanzania muda wa kutekeleza AGIZO la CCT.. jamani nyie mko wapi haswa! mbona mnataka kuiteka nchi hii kwa maneno yenu ya dharau kiasi hiki kwa rais wetu as if hii ni nchi inaongozwa chini ya viongozi wa dini.. JK hakuikashifu dini wala kanisa ila kasema wapo viongozi wa dini wanaojishughulisha na biashara ya Madawa ya Kulevya. Waache tabia hiyo, na sio hivyo tu majina yalikwisha tajwa na wengine tayari wameisha kamatwa na kesi zao zipo mahakamani (Lukuvi akihutubia bunge).. Sasa walokamatwa hao sii viongozi wa dini isipokuwa awe Askofu?..Kama hamridhiki na matokeo hayo basi yaonyesha mnayo majina zaidi ya waliokamatwa.Hawa wakinyamaza mawe yatapiga kelele. Alihamua kumpa muda muheshimiwa ili atekeleze agizo la CCT lakini wapi. Akadhani angetumia busara awataje lakini wapi. Ukumbuke kuwa Pengo alikuwa akihutubia ibada ya Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kwahiyo alikuwa huru kuzungumzia lolote lililomkera zaidi kwa miaka 50 ya uhuru wetu. Think Loud.
Scarface ndio nani usije kuwa unatutajia wahuni wa Marekani wakati sisi tunajadili vitu vya msingi hapa
mkuu mkandara bado upo humu...! Mkuu ile kauli ya kikwete ilitukwaza sisi wakatoliki wote ...kwa hiyo ondoa kabisa katika mawazo yako eti kwa sababu tu Pengo kasema ndiyo maana tunamtetea kwa sababu tunaamini yeye hawezi kufanya makosa! Pengo ni binadamu na ana mapungufu yake mengi tu kama binadamu. Sema kauli yake kama kiongozi wa kanisa katoliki ina uzito fulani kama vile ya Kikwete ambaye ni rais wetu.Nakubaliana na wewe sana tu. Unajua ktk mikutano ya Umoja wa Mataifa ni rahisi sana kuwasikia Marekani wakitukana nchi zote na marais wao hata kuwapigia kura za veto lakini isitokee rais wa nchi nyingine azungumze maneno mazito dhidi ya serikali zao. Wao kwa mtindo wao hutoka nje na kusema ubaya wote wa matamshi ya huyo rais iwe kuhusu Ubeopari mamboleo ama Israel..
Labda nikuulize wewe kitu kimoja, Hapa tuna malumbano kutokana na kauli ya nani? JK kaifanya miezi miwili mitatu ilopita na wananchi wameisha sahau tunazungumzia maswala ya Umeme, maji na ufisaid unaoendelea. Huyu Mh. Kardinali katoka huko alikojificha siku zote kafumua donga ambalo angeweza kabisa kulitafutia ufumbuzi bila kupanda jukwaani na kumkashifu rais..
Pengo anamkashifu rais na maneno yake yamejaa dharau kubwa sana kwa sababu tu rais anawajua viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Na yawezekanakweli JK hakutakiwa kusema ktk mkutano huo.. Hata Obama kawahi kukosea kuzungumzua vitu mbele ya Malikia ambavyo hakutakiwa kusema, lakini alielekezwa. JK ni rais wa nchi na kama alifanya makosa kusema pale mbele ya mkutano wa maaskofu kwa sababu Kanisa huwa lina mambo ya Kisiri kisiri angefahamishwa.. lakini sioni kosa hata kidogo kwa rais kuwaonya wale wanaofanya vitendo hivyo waache kwa sababu Mapadre ni mfano mzuri wa viongozi wa jamii zetu.
Kama Pengo asingesimama majuzi na kusema yote haya, malumbano haya yasingekuwepo hivyo tufahamu kwamba Pengo ndiye sababu ya mada yoote hii na kutoelewana, jambo ambalo watu wanafanya uetetezi kwa sababu kiimani wanaamini Pengo hawezi kufanya makosa sii binadamu ni chaguo la Mungu na mwenye utume... Ni imani yenu na Naiheshimu!
- Nilikuwepo...
Angalia neno, usiangalie jina. Hata muhuni wa Marekani anaweza kukufundisha kitu, sio kila siku mashairi ya Shaaban Robert na Shakespeare tu.
Somo hapa ni,;Actions speaks louder than words
Act Mr. President, we are tired of the empty talk.
Haswaa hili ndilo nilitaka kusikia.. Na wala sintawalaumu wakristu ikiwa watakuwa wakweli ktk imani na hisia zao za utukufu wa Pengo. Ni sawa na sisi waislaam unapozungumzia swala la Ugaidi huwa tunakwazwa sana na muhimu sana kwa mtu anapolizungumzia swala sensitive kama hili awe makini na kauli zake...mkuu mkandara bado upo humu...! Mkuu ile kauli ya kikwete ilitukwaza sisi wakatoliki wote ...kwa hiyo ondoa kabisa katika mawazo yako eti kwa sababu tu Pengo kasema ndiyo maana tunamtetea kwa sababu tunaamini yeye hawezi kufanya makosa! Pengo ni binadamu na ana mapungufu yake mengi tu kama binadamu. Sema kauli yake kama kiongozi wa kanisa katoliki ina uzito fulani kama vile ya Kikwete ambaye ni rais wetu.
.Na kumbuka pia hatumpendi sote kama utawala wake lakini sii ktk swala hili la viongozi wauza unga kwa sababu wapo kweli...
Statement ya JK hakuitoa jana wala juzi siku miezi imepita na kama Pengo angetaka majibualikuwa na muda wa kufanya hivyo kiofisi maanake yeye ni Mkuuwa kanisa la katoliki na balozi wa Vatican hivyo anaweza kuingia Ikulu kama anaingia chooni tu..
Hapana mkuu wangu hata Obama huku huja ktk sherehe zetu na kuzungumzia mambo ya drugs na sii kiongozi wa Polisi au Mwema licha ya hivyo Mwema hakualikwa. Na kama angesema Mwema sii ndio angeikosa hata kazi yake maana kanisa lingeshinikiza afukuzwe kazi ! haaa haa! true though!Sawa lakini hiyo ilikuwa chini ya hadhi yake kama Rais. Matamshi ya namna hii alipaswa kutoa kiongozi au viongozi wa Polisi kama Inspector General Said Mwema et al., siyo Rais wa Jamhuri. Hapo ni wazi Kikwete alikuwa anatumia ujanja wa "red herring" ku-divert attention ya Watanzania kutoka matatizo yao ya msingi kama ukosefu wa nishati ya umeme, na kadhalika.
Na amini usiamini wapuuzi wachache wameingia mkenge kama ilivyokuwa na ule utapeli wa "Babu wa Loliondo". Halafu nadhani hii kauli yake vilevile ina elements fulani za udini. Its obvious it was aimed at Christians only, and he was trying to take a swipe at them for reasons he knows best.
Hapana mkuu wangu hata Obama huku huja ktk Hood na kuzungumzia mambo ya drugs na sii kiongozi wa Polisi au Mwema licha ya hivyo Mwema hakualikwa. Na kaa angesema Mwema sii ndio angeikosa hata kazi..kanisa lingeshinikiza afukuzwe kazi...
Kusema kweli Kama Mkapa angekuja na usema kuna baadhi ya Masheikh wanajihusisha na biashara za Unga iwe siku ya Maulidi au sijui Idd Fitr , mimi sioni makosa unless Mkapa ktk hotuba yake ahalalishe matumizi ya Unga. Kisha sioni sababu ya kumtaka JKK ataje majina kwa sababu majina hayo ndio yanafanyiwa uchunguzi wa kukamatwa wahusika wate na akitwaja tutakuwa tumeharibu upelelezi wote..
Kitendo cha Pengo kumtaka rais awataje wahusika ni chini ya hadhi ya Kardinali na pia ni dharau kumpa ultimatum rais wetu kutoa majina ambayo hana kazi nayo ila isipokuwa kutunisha misuli kuonyesaha nguvu ya kanisa (utanisamehe ktk hili) kwani hata mimi ambaye sina elimu na hekima kama yeye sioni nje - anayataka majina hayo ili ijewe na hakuna mtu aliyeweza kunifahamisha..
Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete? au ni mmoja wa washukiwa.
lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.
Issue siyo Pengo, wala JK, issue ni hao viongozi wa dini, kama ni waovu watajwe, kama kuna usiri usiri angesema vipi sasa umtaje hata yeye kama ni mmoja wao, sasa unajichanganya tu na unaonyesha inferior-ism yako. Let the point be independent, halafu kuhusu watanzania kusahau sahau ghafla mambo hata km ni mazito, ninyi ndiyo mna-take advantage of that fraud. Hata huoni aibu!Nakubaliana na wewe sana tu. Unajua ktk mikutano ya Umoja wa Mataifa ni rahisi sana kuwasikia Marekani wakitukana nchi zote na marais wao hata kuwapigia kura za veto lakini isitokee rais wa nchi nyingine azungumze maneno mazito dhidi ya serikali zao. Wao kwa mtindo wao hutoka nje na kusema ubaya wote wa matamshi ya huyo rais iwe kuhusu Ubeopari mamboleo ama Israel..
Labda nikuulize wewe kitu kimoja, Hapa tuna malumbano kutokana na kauli ya nani? JK kaifanya miezi miwili mitatu ilopita na wananchi wameisha sahau tunazungumzia maswala ya Umeme, maji na ufisaid unaoendelea. Huyu Mh. Kardinali katoka huko alikojificha siku zote kafumua donga ambalo angeweza kabisa kulitafutia ufumbuzi bila kupanda jukwaani na kumkashifu rais..
Pengo anamkashifu rais na maneno yake yamejaa dharau kubwa sana kwa sababu tu rais anawajua viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Na yawezekanakweli JK hakutakiwa kusema ktk mkutano huo.. Hata Obama kawahi kukosea kuzungumzua vitu mbele ya Malikia ambavyo hakutakiwa kusema, lakini alielekezwa. JK ni rais wa nchi na kama alifanya makosa kusema pale mbele ya mkutano wa maaskofu kwa sababu Kanisa huwa lina mambo ya Kisiri kisiri angefahamishwa.. lakini sioni kosa hata kidogo kwa rais kuwaonya wale wanaofanya vitendo hivyo waache kwa sababu Mapadre ni mfano mzuri wa viongozi wa jamii zetu.
Kama Pengo asingesimama majuzi na kusema yote haya, malumbano haya yasingekuwepo hivyo tufahamu kwamba Pengo ndiye sababu ya mada yoote hii na kutoelewana, jambo ambalo watu wanafanya uetetezi kwa sababu kiimani wanaamini Pengo hawezi kufanya makosa sii binadamu ni chaguo la Mungu na mwenye utume... Ni imani yenu na Naiheshimu!
- Nilikuwepo...
Kardinali Pengo alisema kitendo cha Rais Kikwete pamoja na baadhi ya viongozi waliojitokeza kuzungumzia suala hilo huku wakisema hawawezi kuwataja kwa majina, huo ni usaliti mkubwa kwa taifa.
"Haiwezekani mtu mkubwa tu, wala siyo mdogo kuja katika eneo la Kanisa la Katoliki, kukiwa kumejaa Maaskofu kutoka karibu nchi nzima, unasema maneno haya halafu unasema, siyo nyie ni viongozi wa makanisa madogomadogo," alilalamika Kardinali Pengo.
Aliongeza kwamba: "Kama ndivyo hivyo kwa nini sasa uje kuyasema maneno hayo katika eneo la Kanisa Katoliki."
mkuu naona sasa unajichanganya...! haya ni maneno yako mwenyewe! "Na kama JK angemtaja mtu pale basi ingekuwa noma zaidi kwa sababu huyo mtu angedai ushahidi na ingeonekana vibaya zaidi kwa nini serikali yake isimkamate kwanza ikamfungulia mashtaka badala yake anakuja mbele ya hadhara ya watu ktk sherehe ya Kikristu kumtaja mhalifu!".Haswaa hili ndilo nilitaka kusikia.. Na wala sintawalaumu wakristu ikiwa watakuwa wakweli ktk imani na hisia zao za utukufu wa Pengo. Ni sawa na sisi waislaam unapozungumzia swala la Ugaidi huwa tunakwazwa sana na muhimu sana kwa mtu anapolizungumzia swala sensitive kama hili awe makini na kauli zake...
Lakini tuache yoote hayo, JK hakufanya kosa kabisa kwa sababu alikuwa na report ya viongozi wa dini kukamatwa (Wanigeria) na sii rahisi kuwatuhumu viongozi wa dini hasa ya Kikristu pasipo kujua connections zao za kimakanisa.. Na kama JK angemtaja mtu pale basi ingekuwa noma zaidi kwa sababu huyo mtu angedai ushahidi na ingeonekana vibaya zaidi kwa nini serikali yake isimkamate kwanza ikamfungulia mashtaka badala yake anakuja mbele ya hadhara ya watu ktk sherehe ya Kikristu kumtaja mhalifu!
Hivi kweli hata wewe unaona mantiki ktk hili yaani JK kuwataja wauza unga mkutanoni badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka! ikiwa hivyo kina Dr.Slaa watafanya nini?.. Believe me, hii ingekuwa mbaya zaidi lakini katumia kauli hafifu ya kuwaomba viongozi wa dini waache biashara ya unga (diplomacy) yaani mwenyewe kajishusha na kuwa mdogo kwa sababu biashara ya unga ni cartel iliyojipanga vema na ina mlolongo wa vyanzo, middle hadi soko. Hatab huku majuu nmarais huwaonya gangs leader wa Mafia, bikers na Mexican na kadhalika kwa sababu sii rahisi kujua nani yupo ndani nani yupo nje..
Hivyo kujishusha kwake ndio huyo mchungaji Dr. Mokiwa wa KKT akapata nguvu na kumpa Ultimatum rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ati awataje hao wahusika wa madawa ya kulevya laa sivyo sijui ndio wangemwondoa ktk madaraka au!. Na from that day, ilikuwa dharau tupu kwa rais kama vile Church is above the government.. I'm sorry bob hii ni imani yenu na mna kila haki ya kuchukizwa na maneno ya JK lakini msisahau kwamba JK ni rais wa watu wote hata kama hapendeki....Na kumbuka pia hatumpendi sote kama utawala wake lakini sii ktk swala hili la viongozi wauza unga kwa sababu wapo kweli...