Hansi chikwema
New Member
- Jul 31, 2016
- 2
- 0
Wanachokifanya kama wangefsnyiwa hv zaman
Na w ndo wale wale kama hauna la kuongea c upge kimya??? Watu wengine dah!!!!Si muombe kazi na hizo diploma zenu?.....elimu hyo inatosha kukufanya ufanikiwe...watanzania wanalazimisha mambo....eti una diploma halafu unalaumu.....kama umeshindwa kutumia diploma hata degree/masters/PhD hazitakusaidia.
Samahani sana kama nimekuudhi!!!Na w ndo wale wale kama hauna la kuongea c upge kimya??? Watu wengine dah!!!!
Kesho wana fungua dirisha na guide
jipe moyo