Pengine Diploma holders wameekwa kwa ajili ya second selection

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,475
27,168
Masikini wale wa Diploma wamesahauliwa kikweli kweli kwa sasa!!
Hawana GuideBook! Hawana Tamko! Hawana Wa Kuwatetea!! NACTE wametemwa! TCU haiwatazami! Ndalichako Kawasahau!!.

Haya Form 6 kila la Kheri vyuo vimejengwa kwa ajili yenu tu maana Serikali ya viwanda haitambui uwepo, umuhimu, thamani, michango, wala haki ya kupata elimu kwa Diploma holders.
 
daaaah kweli isee naona wametusahau kabisa siku mbili website yao haifunguki jion hii imefunguka ila bado hamna jipya kuhusu diploma
 
Haya ni mambo ya ki***^/!/!e wanafanya nacte & TCU & Wizara ya elimu
 
Niliona kama tcu wamefungua maombi kwa diploma Jion hii ingawa ilikua inasumbua sana website yao
 
daaaah kweli isee naona wametusahau kabisa siku mbili website yao haifunguki jion hii imefunguka ila bado hamna jipya kuhusu diploma
Waliongopea Watu Kuwa watafungua tarehe 31/07/2016 wakiamini Kuwa tarehe hiyo iko mbali labda haitafika!! Hatimae Zimebakia Dakika 132 Kufika tarehe 3.
Sasa Sijui Tunaelekea wapi!!!!
Si Waeke Wazi tu kwa Kusema Kuwa Hakuna Tena Mfumo Wa Diploma Kwenda Degree ili Tujue Kuwa College za Diploma Hazipati tena dili.
 
Ccm ndio TCU ?

Na mwaka huu lazima watu wajinyeee,,,, mtakamuliwaa hadii mjuteee,, si huwa mnafkiri tunawatania tunapowaambiaga mkajiandikishe mpige kuraa,, sasa madhara ya kuchagua walewale ndo hayoo,,, mnapigiwa ngoma ile ile midundo tu mnabadilishiwaa,,,,,,
 
Nimeshagundua ni nini mbaya nawewe....
 
Back
Top Bottom