Taarifa ya faraja kwa diploma holder wenye jpa 3.0

mashishanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
611
Reaction score
429
Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa kua tcu ilishusha jpa kwa diploma had kwa 3.0 je ikitokea wamepangiwa chuo mikopo watapataje kwa maelezo yake akasema mwanafunz akidhadailiwa na tcu mkopo atapata wala hakuna shida ila wataangalia vile vigezo vya muhimu kama yatima, na mengineo na pia akasema mfano tume ya tcu imetoa tarifa kudahili third selection kwa waliokosa second selection sa mie nikawaza kumbe Hilo tangazo la nacte Ata tcu inawahusu, hivyo tuwe Makin j5 kwel tcu itatoa nafas ya kudahili kutokana na tarifa ya mkurugenz bodi ya mikopo, sasa changamoto je vyuo kama udsm na bugando ambavyo vimeshafunguliwa je Hao second selection c watakuta wenzako wameshafika mbali kimasomo, inaitajika kua tarehe moja yakufungua vyuo
 
huwezi pata mkopo,bila kujaza form za maombi sahau maisha yako yote
 
Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa katika station ya itv na kutoa maelezo hayo
 
Mmmmmmmh third selection? hyo inatutisha mkuu
 
Ikumbukwe mkopo ulianza kuombwa hata kabla ya matokeo..... So I don think kama kuna mkanganyiko wowote.
 
Mkopo mpaka uwe yatima!!!
🙁
 
haaaa viva matamko jamani hili ni zengwe tena mta sikia tcu na third round yao viwango ni vipya kabisa yangu macho vyuon hakuna wanafunzi na tulikuali kuingia kwenye free market tuna vyuo zaid ya 60 wakiwana hao wana funzi kila chuo kitapata kama watu 550 sasa hii si hatal.......
 
Na unauhakika na hizo taarifa ndugu? na ninafikiri alimaanisha GPA na si jpa mkuu ujisahishe hapo
 
Taarifa za faraja kwani kwan huyu ni mwathirika
 
Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa kua tcu ilishusha jpa kwa diploma had kwa 3.0 je ikitokea wamepangiwa chuo mikopo watapataje kwa maelezo yake akasema mwanafunz akidhadailiwa na tcu mkopo atapata wala hakuna shida ila wataangalia vile vigezo vya muhimu kama yatima, na mengineo na pia akasema mfano tume ya tcu imetoa tarifa kudahili third selection kwa waliokosa second selection sa mie nikawaza kumbe Hilo tangazo la nacte Ata tcu inawahusu, hivyo tuwe Makin j5 kwel tcu itatoa nafas ya kudahili kutokana na tarifa ya mkurugenz bodi ya mikopo, sasa changamoto je vyuo kama udsm na bugando ambavyo vimeshafunguliwa je Hao second selection c watakuta wenzako wameshafika mbali kimasomo, inaitajika kua tarehe moja yakufungua vyuo
kwa bugando haina shida cuz hakun nafasi zilzobaki kwa 2nd selctn so hakta kuwa na mwanfnz wa 2nd rnd
 
Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa katika station ya itv na kutoa maelezo hayo

Wewe Hebu Kuwa Muelewa Usipokee Mambo Kikasuku! ili upate Mkopo ni Lazima uombe sasa hao walio na GPA 3.0 wengi wao hawakuomba Mkopo Kwa Kuhofia GPA zao tena huo mkopo wapate Kwa Mazingira Yapi???

Watakaopata Mkopo wa 3.0 ni wale tu waliojitoa kafara kwa Kujaza fomu za mkopo na wakapata Chuo! lakini Kama hukujaza Fomu ya Mkopo Basi sahau Mkopo bro!

Mods Futa huu uzi manake ni Upuuzi tu.
 
Wew tulia c lazima kuchangia, mkopo walijaza kabla hawajatangaza hiyo jpa ya 3.5 au b+ hivyo wanapata Kwan mikopo Ata wenye jpa 2.7 mbona walikua wamejaza ndio walipobadili jpa hawakumalizia katika machaguo ya vyuo mana diploma waliowengi walikua wamelipia na kujaza nacte wanaishia kwenye kujaza machaguo ya vyuo had form six wapate matokeo yalipotoka matokeo ya six ndio tcu ikatangaza viwanja vipya kwa form six na diploma holder kwa ajili ya kuapply vyuo , sasa waliposhusha jpa inamaana Hawa wa GPA 3.0 walikua wameshapply mkopo mwanzon kabla yakutangazwa viwango vipya vya application, cyo lazima kuchangia kama huelew unachokiandika
 
Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa kua tcu ilishusha jpa kwa diploma had kwa 3.0 je ikitokea wamepangiwa chuo mikopo watapataje kwa maelezo yake akasema mwanafunz akidhadailiwa na tcu mkopo atapata wala hakuna shida ila wataangalia vile vigezo vya muhimu kama yatima, na mengineo na pia akasema mfano tume ya tcu imetoa tarifa kudahili third selection kwa waliokosa second selection sa mie nikawaza kumbe Hilo tangazo la nacte Ata tcu inawahusu, hivyo tuwe Makin j5 kwel tcu itatoa nafas ya kudahili kutokana na tarifa ya mkurugenz bodi ya mikopo, sasa changamoto je vyuo kama udsm na bugando ambavyo vimeshafunguliwa je Hao second selection c watakuta wenzako wameshafika mbali kimasomo, inaitajika kua tarehe moja yakufungua vyuo
Na wewe unataka ukasome ili uwe graduate???
JPA ndio nini? Kumbe waliposema GPA iwe 3.5 ilikuwa sahihi. Sorry kwa hii coment
 
Back
Top Bottom