Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

Acheni kuchanganya watu hakuna mapenzi bila pesa na hakuna pesa bila mapenzi ni sawa na coin iwee na head alafu upande wa pili kusiwe na kitu hiyo itakuwa sio coin
 
Ni moyo sawa, ila pesa ndio ina 'activate'..sometimes labda uwe maarufu n.k. ila Kama mwanaume utakuwa hohe hahe walahi utaishia kupenda tu na kula kwa macho.

Hakuna haja ya kuingia sana kwenye details...we jiulize tu, hivi hakuna Askari Mgambo wa jiji, au kijana Shoe shiner n.k. ambaye angetamani kuwa na Mtoto mrembo kama let say Nancy Sumari siku alipomuona akikatiza jirani naye? labda jibu ni 'wapo wengi tu'...sasa basi ni nini kimemzuia huyu Askari au Shoe shiner asijongee kwa Nancy na aombe namba ya simu?

Kama kuna mifano tofauti na hivyo huwa kwa uwiano wa 1:100m, au ungoje kuona kwenye movies.
 
Pendo la kweli ni upendo kuheshimiana kuvu!iliana na kukubaliana na kukumbuka kuombana msamaha pale mnapo koseana mana nyie sio maraika! Na kupeana pole na ahsante! Hela ni majaliwa pale mnapo kuwa na upendo Mungu atawapa.
 
Back
Top Bottom