Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[quote uid=157962 name="atoto" post=18433798]Kwanini aishiwe![/QUOTE]
Biashara zake zinaweza firisika...

kazi anayofanya anaweza achishwa na kupata tena mtihani,

bahati mbaya anaweza pata ajali na kupelekea ulemavu na kushindwa kutafuta pesa kama ilivyokuwa mwanzo,

Mabadiliko ya uongozi kama anko magu,iliyopelekea wengi kupoteza vyanzo vyao vya vipato.

Na sababu nyingine lukuki

Yeye ni binadamu..hakuna uhakika atakuwa na pesa siku zote..vile vile huyo asiye na pesa anaweza kuja kuwa na pesa..pesa ni maua

Mm mwanamke anayeangalia pesa naona hana akili haangalii mbali,ni mnafiki,kama anapenda pesa si atafute zake mwenyewe.

Upendo/mapenzi ya kweli hayachangamani na pesa...ni sawa na maziwa kuwekwa maji,hayawi na radha inayotakiwa..

moyo kazi yake ni kusukuma damu, pesa inajenga kila kitu

Upendo ut ajengeka mbele kwa mbele kikubwa ni kuwa na mtu sahihi mwenye utu basi,mambo ya upendo hayo ni drama drama....UPENDO WA KWELI TUNAUPATA KWA MUNGU TU ila duniani kila tunafanya tukiwa na sababu zetu ambazo ni siri zetu moyoni

Nzuri hiyo

Kumpenda mtu ambae ana Ela nacho kipaji
Over

Back
Top Bottom