Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

Serikali yenyewe imemkwida mtumishi kwa makato meengi; tax 30% and plus, 5% psssf, 3% NHIF, 15%HESLB= 53% makato yoote kilichobaki 47% hata kula haitoshi.

Hapo from 2015 up 2020 no any increament. Hayo makato ya corona yatamfanya mtumishi afe kabla corona haijamfikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza niseme wazo kuwa mm ni muumini wa ahadi za mwanatanu. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi.

Nikiwa mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia mapambano dhidi ya corona. Katika hilo naomba tutangulize uzalendo. Nchi ni yetu na matatizo ni yetu.

Hata hivyo natoa wito kwa watanzania wenzangu wote tukumbuke kuomba risiti hii kama sehemu ya kuimalisha uchumi wetu.
Mshahara ukatwe wa nn ! Wakati Kodi wanakatwa tayari ?
 
Nakumbuka kuna section kwenye employment standards ya ELRA -kama sikosei S.28 inakataza deduction of any kind unless under written law na mfanyakazi akikubali inabidi a provide express agreement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi.

Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia mapambano dhidi ya corona. Katika hilo naomba tutangulize uzalendo. Nchi ni yetu na matatizo ni yetu.

Hata hivyo natoa wito kwa watanzania wenzangu wote tukumbuke kuomba risiti tutakaponunua bidhaa madukani jambo ambalo litasaidia kuimalisha uchumi wetu.
Fungu la majanga linafanya kazi gani
 
Aiseee kweli wewe una mawazo ya TANU, leo hii 2020 unakuwa na mawazo ya TANU iliyo kufa miaka ya 1970+.
Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi.

Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia mapambano dhidi ya corona. Katika hilo naomba tutangulize uzalendo. Nchi ni yetu na matatizo ni yetu.

Hata hivyo natoa wito kwa watanzania wenzangu wote tukumbuke kuomba risiti tutakaponunua bidhaa madukani jambo ambalo litasaidia kuimalisha uchumi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200403_172913.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa walimu wabadilishe mrija wa cwt iende wizara ya afya. Korona ikiisha pesa hiyo iende hukohuko iungwe kweny NIHF ..cwt MH Rais JPM huoni chama hiki ni wala jasho la wwnzao tuu?? Tumia mamlaka yako
 
Back
Top Bottom