Nimewaza na kuona bora Rais awe anachaguliwa na bunge kwa sababu wabunge wanajuana zaidi na hakutakuwa na malalamiko wala hofu ya amani kuvunjika.
Hapo ndio majimboni kutakuwa na siasa ya kukata na shoka,hii ni kwa sababu nawaonea huruma wagombea urais wanafanya kazi kubwa kuzunguka nchi nzima na pesa nyingi zinatumika.