Pendekezo: Wale wote waliodhulumiwa chochote na Serikali ya Tanzania ya awamu ya 5 Wajitokeze hadharani Tufunge mjadala

Watu wengi waliumizwa kwa namna mbalimbali, kuna waliouawa, waliovunjiwa nyumba zao, walioharibiwa mashamba yao, kuna walifukuzwa kazi, kuna waliporwa fedha na zingine nyingi tu. Maridhiano ni muhimu katika sehemu zote maana watu wana maumivu mioyoni mwao.
Amen
 
Watu wengi waliumizwa kwa namna mbalimbali, kuna waliouawa, waliovunjiwa nyumba zao, walioharibiwa mashamba yao, kuna walifukuzwa kazi, kuna waliporwa fedha na zingine nyingi tu. Maridhiano ni muhimu katika sehemu zote maana watu wana maumivu mioyoni mwao.
NCHI INA MABOGA HII.

YANI UNATETEA MAJIZI
 
kuna tofauti kubwa kati ya kupora na kutaifisha, vyeti feki na waliosota juu ya madawati, kupambania mali za watanzania ama kuogopa kushtakiwa MIGA, kucheka na nyani shambani ama kuweka misingi nchi isiwe shamba la bibi hayo na mengine mengi alituonesha mwamba mmoja tu, na kizuri wote tulio timamu tunajua na tutamuenzi daima. Mungu amlaze mahali pema, Amen.
CHADEMA NI NYUMBU HASWAA.

ALIYEWAPA HILO JINA ALIONA MBALI
 
Sasa ni dhahiri kwamba Wimbi la watu kudhulumiwa mali zao wakati wa Utawala wa John Magufuli liko bayana na ni kubwa kuliko tulivyodhani...
Mimi mvuvi wakata ya kalya kijiji kashagulu wilaya uvinza mkoa kgm nimechomewa nyavu halali na kuporwa mashine za kusozea mtumbwi 2 tens walizichukua ndani sio ziwani kwanini naita vyavu halali ni kwasababu nilikuwa navua kwa kutumia leseni pili uvuvi wa kipe niuvuvisalama hufanyika kwenyekina kirefu chamaji na niusiku tu njoo kashagulu topo tulioteswa nayule jamaa mungu amnyooshe kabisa pia Mimi nawavuvi wangu tuliisha apa hatutopiga kura tens tutaishi unasimama kwenye mstari namtu anakuja kukutesa kama yule jambazi. Mungu muungezee moto akome kabisa
 
Mimi mvuvi wakata ya kalya kijiji kashagulu wilaya uvinza mkoa kgm nimechomewa nyavu halali na kuporwa mashine za kusozea mtumbwi...
Mkuu Chadema itafika hapo Kashagulu na itakusanya malalamiko yenu yote , poleni sana kwa unyama mliotendewa
 
Unawaambia nini nawale walodhurumu Taifa?

Na kujaribu kutaka kua Magaidi ??.

Wlaosababisha Kifo Cha Akwilina?.
 
Sasa huoni kila MTU atajitokeza itakuwa mchezo wa kuharibu kodi zetu.

Tutetee mambo ya msingi.

Kumbuka hizo ni pesa zetu walipa kodi au unadhani ni zenu?tz kuendelea ngumu Sana,wenzetu hawakufika hapo kwa rocket science,ni nidhamu ya hali ya juu,kuwajibika,kutochezea raslimali zao na mengine mengi.

Yaani aina ya vitu nyie hutetea vinachekesha.mambo ya msingi mnaziba maskio kisa uchawa.

Sasa huyo Marehemu huwa anawaskia au upuuzi tu.
 
Sasa huoni kila MTU atajitokeza itakuwa mchezo wa kuharibu kodi zetu.
Tutetee mambo ya msingi.

Kumbuka hizo ni pesa zetu walipa kodi au unadhani ni zenu?tz kuendelea ngumu Sana,wenzetu hawakufika hapo kwa rocket science,ni nidhamu ya hali ya juu,kuwajibika,kutochezea raslimali zao na mengine mengi.

Yaani aina ya vitu nyie hutetea vinachekesha.mambo ya msingi mnaziba maskio kisa uchawa.

Sasa huyo Marehemu huwa anawaskia au upuuzi tu.
Lengo ni kuhakikisha kila ubaya unaanikwa
 
Sasa ni dhahiri kwamba Wimbi la watu kudhulumiwa mali zao wakati wa Utawala wa John Magufuli liko bayana na ni kubwa kuliko tulivyodhani.

Watu wameporwa karibu kila kitu, wako walioporwa hela zao , humu wamo walioguswa kwenye akaunti zao (bila kujali kama wanadaiwa au hawadaiwi yaani ukiwa na hela nyingi tu hata kama uliuza mahindi yako unaporwa ), wako pia wale wa Plea bargain akiwemo Habhinder Seth na wamo pia wenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni (Bureau De Change), wako walioporwa Mashamba yao akiwemo Sumaye , Wamo wengi walioporwa mifugo yao kwa kisingizio cha kuchunga kwenye hifadhi , yaani ngedere walionekana bora kuliko ng'ombe , Wavuvi waliporwa kila kitu , zikiwemo samaki walizovua , nyavu , mitumbwi , boti na vifaa vyao vyote , wako walioporwa Viwanja na nyumba , akiwemo GSM , Wako walioporwa magari na kesi zingali Mahakamani , Bila shaka wako walioporwa Wake ama Waume zao kwa utaratibu ule ule wa kishamba wa " Unanijua mimi nani " , Wako wengine walioporwa Uhai wao akiwemo Lwajabe , mnyororo wa walioporwa ni mrefu sana , hatutaweza kuumaliza .

Kwa vile serikali ya awamu ya 6 imetambua uporaji huu na imeanza kuwarejeshea pesa zao baadhi ya wahanga , basi Natoa Wito kwa watu wote waliodhulumiwa chochote kile na serikali ya kikatili ya awamu ya 5 , wajitokeze hadharani tuwafahamu na kufahamu njia zilizotumika kuwapora mali zao ili tuangalie namna ya kuwasaidia , hakuna haja ya kuficha ficha mambo, hakuna haja ya kuogopa kufichua maovu ili kuanika kila uchafu uliofanywa kwenye awamu ile .

Jambo hili ni muhimu kufanyika kwa sababu si wote walioporwa ni maarufu , si wote walioporwa wana ujasiri wa kuyatoa mambo yao hadharani wao wenyewe bila kulindwa , watu waliowatisha na kuwapora wengine bado wako hai na wengine bado wamekalia vitengo.

WOTE WALIODHUKUMIWA KILAMKITU KUANZIA HUDUMA, PESA UONEVU KUNYANGANYWA MALI FUNGUNGWA JELA WALE TULIONYANGAMWA WAKE AU WAUME
 
Hivi kama ulifanya Uvuvi haramu kutumia nyavu zilizokataliwa unataka Magufuli afanye nini akuchekee tu?? sikatai makosa yalikuepo ila hamtakaa mpate mtu Bingwa sana kama yule mzee mucheni tu alishakufa basi..Unafiki ndio jadi yenu hata huyu mama akitoka mtamchawia sana....
 
Back
Top Bottom