johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Hili ni pendekezo tu.
Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.
Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.
KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama!