Pendekezo: St. Francis Mbeya anzisheni elimu ya juu ya Sekondari


Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,523
Likes
1,446
Points
280
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,523 1,446 280
Sio Mara ya kwanza kwa shule hii kuwa kinara wa kufaulisha wanafunzi wake katika kiwango sawa na cha lami

Ni kawaida ya St. Francis kutuacha midomo wazi tunaposkia matokeo yao ya form four kwa viwango vya ufaulu ambavyo vinaweza kukufanya udhani ya kwamba ni shule ya watoto malaika

Mwaka huu pekee shule ina division one za single digits (7,8 na 9) ambazo zimetuacha hoi....unaambiwa watoto wa kike 72 kati ya 91 sawa na asilimia 79% waligonga single points bila ya Huruma huku wote 91 wakigonga division one KUDADADEKI!!!!!

Sasa ishu inakuja kwamba kwanini hii shule wasianzishe form six kabisa maana inaonekana kabisa uwezo wanao.
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
10,360
Likes
12,549
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
10,360 12,549 280
Nimesomesha shule hizi za masister wako vizuri sana.
St Francis, Kowak girls, Loretto girls, Holly family girls etc. Hizi shule ziko vizuri wanaopinga wanasumbuliwa unafki na uswahili

Wazo la A level ni muafaka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,683
Likes
4,898
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,683 4,898 280
Nimesomesha shule hizi za masister wako vizuri sana.
St Francis, Kowak girls, Loretto girls, Holly family girls etc. Hizi shule ziko vizuri wanaopinga wanasumbuliwa unafki na uswahili

Wazo la A level ni muafaka.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko wapi sasa baada ya kusoma shule izo
Cc: aise
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
10,360
Likes
12,549
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
10,360 12,549 280
Kilimo hiki hiki?? Au mwenzetu unalima nn. Hongera sana
Hiki hiki cha "hapa kazi tu"
Kwani vipi mkuu ?!

Mkuu sisters ni wazuri. Jaribu Holly family girls uone . Hutajuta kupoteza ml. 9 kwa miaka minne na binti atajivunia ulichomfanyia. Pili wanawafundisha kazi za mikono (maisha). Hawadekezi watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,683
Likes
4,898
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,683 4,898 280
Hiki hiki cha "hapa kazi tu"
Kwani vipi mkuu ?!

Mkuu sisters ni wazuri. Jaribu Holly family girls uone . Hutajuta kupoteza ml. 9 kwa miaka minne na binti atajivunia ulichomfanyia. Pili wanawafundisha kazi za mikono (maisha). Hawadekezi watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Huko kwenye kusomesha mm bado sana. Ndo kwanza nataka niingie kwenye uzazi
 
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,826
Likes
3,894
Points
280
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,826 3,894 280
Hiki hiki cha "hapa kazi tu"
Kwani vipi mkuu ?!

Mkuu sisters ni wazuri. Jaribu Holly family girls uone . Hutajuta kupoteza ml. 9 kwa miaka minne na binti atajivunia ulichomfanyia. Pili wanawafundisha kazi za mikono (maisha). Hawadekezi watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
So, ada yao ni around 2 mil kwa mwaka?? hiyo ni boarding au day??
Kwenye malezi hapo ndipo napowapendea
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
10,360
Likes
12,549
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
10,360 12,549 280
So, ada yao ni around 2 mil kwa mwaka?? hiyo ni boarding au day??
Kwenye malezi hapo ndipo napowapendea
Is two point. Zote hizo ni boarding schools, na hakuna visiting za kujisikia. Labda upigiwe simu kuwa mtoto anaumwa vinginevyo no.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
peeara

peeara

New Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
3
Likes
0
Points
3
peeara

peeara

New Member
Joined Sep 13, 2016
3 0 3
Wanaweza anzisha elimu ya Alevel halafu wakapotea kwenye ramani completely hata top 50 wasiwemo. Hao wameridhika na hiyo Olevel na wanaitendea haki usiwapangie la kufanya.
 

Forum statistics

Threads 1,274,315
Members 490,660
Posts 30,507,959