Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Sio Mara ya kwanza kwa shule hii kuwa kinara wa kufaulisha wanafunzi wake katika kiwango sawa na cha lami
Ni kawaida ya St. Francis kutuacha midomo wazi tunaposkia matokeo yao ya form four kwa viwango vya ufaulu ambavyo vinaweza kukufanya udhani ya kwamba ni shule ya watoto malaika
Mwaka huu pekee shule ina division one za single digits (7,8 na 9) ambazo zimetuacha hoi....unaambiwa watoto wa kike 72 kati ya 91 sawa na asilimia 79% waligonga single points bila ya Huruma huku wote 91 wakigonga division one KUDADADEKI!!!!!
Sasa ishu inakuja kwamba kwanini hii shule wasianzishe form six kabisa maana inaonekana kabisa uwezo wanao.