KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
- Thread starter
-
- #41
Ushauri wowote wa kumtakaa dr slaa agombee ubunge hauna nia njema na ukombozi wa pili wa nchi. Tusubiri msiba uishe ,mkurugenzi wa uchaguzi wa Taifa atasema cha kufanya.....hapo ndio chama makini Kutakuwa na haki ya kuongelea hadharani mikakati ya arumeru ....
Dr yupo hapa ....Hawa wanataka Ugombee ubunge ili wakuite una uchu wa madaraka....size ya ubunge ilishapita angalia ujenzi wa chama na kuibua vipaji na maandalizi ya uchaiguzi mkuu 2015
[/B]
Nilitaka kukukumbusha tu kwamba aliweza kuwa mbunge na katibu pia na alikiimarisha chama ndio mpaka leo wewe unajivunia watu kama zitto kabwe ni matunda yake licha ya kuwa mbunge,na slaa anaweza kuwa mbunge na akaimarisha chama,upo hapo!leo ni hoja juu ya hoja tu hapa
Kweli kabisa kuna vijana wengine wengi tu wanaweza kugombea,Slaa ni rais.
bada ya rejia kufa kwa uzembe cdm moro kwishney
nyie mlokuwa mnagombana na kufukuzana kwny msiba ndo mmeliwa.wabaguzi wakubwa nyieLile jini mlilomtupia ndio limewadanganya hivyoooo......mkadai mbuzi yenu......
Mmeliwa ....
Unamdanganya!
Ndio maana nasema makada wa chadema mnatawaliwa zaidi na jazba kuliko hoja,sasa slaa kuguswa kidogo jazba zimekupanda mpaka uwezo wako wa kusoma maandishi ya kiswahili umeoungua,hebu ni quote ni katika mstari upi niliposema mimi ni mwanachama au mshabiki wa cdm?tena una kawaida ya kuingia mitini,nijibu usikache hapa
nyie mlokuwa mnagombana na kufukuzana kwny msiba ndo mmeliwa.wabaguzi wakubwa nyie
Kwa hiyo wabunge wanatosha hamtaki tena slaa aongeze idadi au?na kuhusu wabunge hata nccr iliwahi kuwa na wabunge wengi lakini jiulize walikwenda wapi?acheni kuridhika mapema nyie..mnahitaji wabunge zaidi,hapo unguja tu sisemi pemba hamna kiti hata kimoja,cuf wameweza kupata huku kwanini na nyie msipate kule?na bado mnasema kuna mtu anaimarisha chama..tokea akose urais na kuwa nje ya bunge chadema imeshinda chaguzi ngapi yeye akishinda kwenye ofisi za chama na ku dedicate muda wake wote kufanya shughuli za chama tu?Unaongelea historia ambayo sisi wengine tumeshiriki kuitengeneza.
Chama kinapanga mikakati kulingana na wakati, hakiishi kwa kutegemea historia pekee.
Huyo kabourou alishamaliza ngwe yake na akajiondokea na sisi bado tupo tunasonga mbele na tumepata wabunge wengi zaidi kuliko enzi za kabourou.
Mkuu KIM KARDASHBinafsi napendekeza CHADEMA imsimamishe Dr.SLAA kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko Arumeru.Hii itaipa chadema kwanza nafasi kubwa ya kukinyakua kiti hicho kwa kuwa Slaa kwa sasa ni heavy weight politician na pia watanzania wenye uchungu na nchi hii tumekuwa tukiukosa mchango wa Dr pale bungeni,wengi tunaukumbuka ujasiri wake akiwa anga zile,kiukweli Mboe anapwaya kwenye nafasi ya kiongozi wa upinzani pale bungeni,waziri mkuu Pinda na serikali yake wanahitaji kuchangamshwa na mtu machachari wa aina ya Slaa,Lema au Tundu!....mboe amekua na huruma huruma hivi,sasa slaa kama atafanikiwa kushinda ubunge(nina uhakika atashinda)basi mh.mboe awe muungwana kwa kumpisha bwana Slaa kiti cha kiongozi wa upinzani!hii imekaaje wadau,yote ni katika kuimarisha makali ya bunge.
I'm here to stay.
Hoja zako zote ulizoleta hapa so far nimezivunjilia mbali. Kama una nyingine ilete.
Mara nyingi ma anti chadema mkizidiwa hoja mnaleta viroja kwamba wanachadema tuna jazba. Kwangu unapata what you deserve!
Akigombea huko na kushindwa itakuwa kwa heri siasa asubiri Rais bado anazo nafaso chache za wabunge 10 wa kuteuliwa
CCM bana, mnataka akagombee ubunge ili mkampoke ushindi wake kwa nguvu ili muhalalishe kushindwa kwake kwenye kura za urais, ujanja wenu tumeshaujua.