zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,339
- 9,818
Anatakiwa agombee kupitia CCM kwa sababu CUF wamefunga ndoa na CCM.
na akigombea CCM hawatasimamisha mgombea.
Anatakiwa agombee kupitia CCM kwa sababu CUF wamefunga ndoa na CCM.
Hadi pale atakaporudisha kadi. Lakini si unaifahamu nchi hii? Mambo mengi ni kanyaga twende.WildCard kwa hiyo umekubaliana na taratibu za kujiuzulu kwa Rostam au hadi arudishe kadi.
CUF haina nguvu Igunga,angalia statistics za uchaguzi mkuu uliyopita!!
tumekusikia...!Shibuda ana ushahidi wa mazungumzo ya CDM na Rostam kuhusu kukabidhiana hilo jimbo, hapo Zitto anasafisha njia ya kwa Shibuda kuibomoa CDM kesho.
Nimeona Zitto ameandika kwenye twitter ameandika cdm wanajiandaa kuchukua jimbo la Igunga, nadhani mikakati itakayowekwa na cdm lazima kieleweke. Lipumba hatumuhitaji
Wakuu tukiacha itikadi, CUF wana nguvu Igunga Kuliko CDM
Matokeo ya Mwaka Jana
Igunga
Msimamizi wa jimbo hilo Protas Magayane alimtangaza Rostam Aziz wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 35,674 dhidi ya mpinzani wake, Leopord Lucas Mahma wa CUF ambaye amepata kura 11,321. kwa maana hiyo CDM walikwa wa 3
CUF wameharibu sana baada ya uchaguzi mkuu na ndoa zao kwenye viti vya umeya, bungeni so hali ya sasa ni tofauti kbs now we have two histories "CUF BEFORE AND AFTER 2010 GENERAL ELECTION"
Wakuu tukiacha itikadi, CUF wana nguvu Igunga Kuliko CDM
Matokeo ya Mwaka Jana
Igunga
Msimamizi wa jimbo hilo Protas Magayane alimtangaza Rostam Aziz wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 35,674 dhidi ya mpinzani wake, Leopord Lucas Mahma wa CUF ambaye amepata kura 11,321. kwa maana hiyo CDM walikwa wa 3
sidhani (i stand to be corrected ila kwa figures)Lets wait
Ila CDM mwaka jana waligalagazwa na CUF Igunga...Thats a Fact
sidhani (i stand to be corrected ila kwa figures)
Mkuu,
Tukiweka mbali ushabiki wa Chama tunahitaji mtu kama Lipumba bungeni. Hali ya uchumi wa nchi unaenda kombo na walioko bungeni sio wajuzi wa uchumi waliobobea Lipumba anaweza kuongeza nguvu bungeni kuzidi kuikosoa serikali iliyo madarakani.
ume nisahihisha vizuriUsikurupuke kindly refer post # 45