Tatizo si MSD bali ni serikali yenyewe. Ni kweli kuwa hospitali zetu na zahanati pamoja na vituo vya afya havina dawa muda mwingi na vifaa tiba, au havipati kwa wakati, lakini tatizo ni serikali kutokulipa madeni kwa wakati.
Kama mtakumbuka bunge lililopita, wabunge walicharuka na kutaka msd ivunjwe au iwepo mbadala, hii ilipelekea kamati ya huduma za jamii kutembelea msd. Wabunge waliambiwa ukweli kuwa MSD wakati mara nyingi wanapeleka dawa na vifaa tiba kwa mkopo, na wanaidai serikali zaidi ya bilioni 40-60, ndio maana wabunge waliporudi bungeni waliishia kuiomba serikali kupiti wizara ya afya ilipe madeni yake ili kuongeza ufanisi. Kwa sasa baadhi ya mikoa MSD wanapeleka dawa mpaka vituoni, gharama zimeongezeka kwa MSD.
Lakini tatizo lingine ni la watendaji hasa wakurugenzi na DMOs kwa ujumla, unakuta kituo au hospitali haiagizi dawa kwa wakati au dawa zinapelekwa kwa DMO, lakini hazifiki vituoni kwa wakati sababu hakuna usafiri, hivyo kuwaumiza wananchi. Sehemu ambazo Dmos wanawajibika ipasavyo, hata pale ambapo dawa za MSD hazijafika, wamekuwa wakinunua dawa na vifaa tiba kwa pesa za mifuko ya bima kama CHF na NHIF, lakini kwa wakurugenzi na DMOs walafi hakuna wanachofanya. Mifano ipo pia, ukitembelea zahanati za wilaya za mbeya kama rungwe ni tofauti na ukitembelea zahanati na vituo vya afya vya Morogoro vijijini na kwingineko.
Kwa Dar es Salaam ni vioja, maana hospitali za Amana, Temeke na Mwananyamala wanategemea sana MSD, na pesa za mifuko ya bima ya afya zinakusanywa na kupelekwa manispaa, ili hospitali inunue dawa nje ya MSD inabidi wamwombe mkurugenzi na tenda itangazwe ndio dawa zikanunuliwe, ni ukiritimba mtupu.
Hivyo tatizo si MSD tu, ni serikali na the whole system need overhaul.
Pamoja na badhi ya ukweli hapo kwenye kuidai serikali bilioni 60 umedanganya sana!!! acha hizo aiseeTatizo si MSD bali ni serikali yenyewe. Ni kweli kuwa hospitali zetu na zahanati pamoja na vituo vya afya havina dawa muda mwingi na vifaa tiba, au havipati kwa wakati, lakini tatizo ni serikali kutokulipa madeni kwa wakati.
Kama mtakumbuka bunge lililopita, wabunge walicharuka na kutaka msd ivunjwe au iwepo mbadala, hii ilipelekea kamati ya huduma za jamii kutembelea msd. Wabunge waliambiwa ukweli kuwa MSD wakati mara nyingi wanapeleka dawa na vifaa tiba kwa mkopo, na wanaidai serikali zaidi ya bilioni 40-60, ndio maana wabunge waliporudi bungeni waliishia kuiomba serikali kupiti wizara ya afya ilipe madeni yake ili kuongeza ufanisi. Kwa sasa baadhi ya mikoa MSD wanapeleka dawa mpaka vituoni, gharama zimeongezeka kwa MSD.
nakubaliana nawe kabisa kwa hili.ukiangalia juujuu unaweza ukafikiri wanaosababisha ukosefu wa wa dawa na vifaa tiba kwenye hospitali zetu ni MSD wakati sio kweli kabisa.mfumo unaotumiwa na serikali katika kuagiza dawa na kufanya malipo huko MSD umesababisha madeni makubwa na matokeo yake imepelekea MSD kushindwa kufanya kazi yake vizuri kutokana na ukosefu wa fedha ya kutosha.
MTM, nilipotoa figure hiyo nilisema ni 40-60 billioni, nakubaliana na wewe yawezekana ikawa si 60bilioni. Nimesahau figure exactly, lakini nilikuwepo wakati mkurugenzi wa MSD alipokuwa anawapa maelezo wabunge kamati ya huduma za jamii, na deni wanalodai MSD ni range hiyo.chanzo si msd, chanzo ni serikali na ulaji wa local government, peas ya NHIF tu inaweza kabisa kumaliza shida ya medical supplies nchini ila wanaiba sana
ila aliposema bil 60 kadanganya
asilimia sitini ya mapato yanayotokana na NHIF hutakiwa kununuliwa dawa.tatizo local goverments haziwezi kununua dawa bila kupata list ya Out of stock kutoka msd.chanzo si msd, chanzo ni serikali na ulaji wa local government, peas ya NHIF tu inaweza kabisa kumaliza shida ya medical supplies nchini ila wanaiba sana
ila aliposema bil 60 kadanganya
mkuu kama tatizo ni upatikanaji wa dawa
basi hapo ndipo tunapohitaji washindani wengi zaidi ili mmoja anapokosa mwungine awe nazo.
Tatizo ni MSD tu!
We mtu uunaagiza kopo 20 za amoxcilline kwa mfano wao wanakuletea kopo sita katika kituo cha afya wanakujazia BBE tin ambazo wewe uliagiza kwa uchache au pengine hukuagiza kabisa ili kufidia pesa yako kwa robo kwa vile vituo vinavyotumia mfumo wa indent system? Sasa huu ni wizi kabisa, kwanini wakuletee dawa ambazo wewe hukuagiza kabisa na huna wagonjwa watakaotumia kwa wingi? Hayo ma BBE nani atatumia? Yanaishia tu kuexpire pharmancy!
Kwahiyo, aje mshindani wa MSD, sasa hivi kila kitu cha afya kinatengewa shiling tatu milioni kwa robo mwaka; hizi ni fedha ndogo sana kwa kununulia vifaa vya tiba. Serikali iongeze bajeti zake! Halafu tunashindwa kuelewa hizi fedha za cost sharing na bima ya afya zinatumika vipi. Kulikuwa na umuhimu wa kuzitumia pale dawa zina pokwisha kabla ya MSD hawajaleta.
MTM, nilipotoa figure hiyo nilisema ni 40-60 billioni, nakubaliana na wewe yawezekana ikawa si 60bilioni. Nimesahau figure exactly, lakini nilikuwepo wakati mkurugenzi wa MSD alipokuwa anawapa maelezo wabunge kamati ya huduma za jamii, na deni wanalodai MSD ni range hiyo.
Nikirudi kwa Meningitis,nadhani hujafanya utafiti wa kutosha. Huwezi ukaringanisha upatikanaji wa dawa hospitali binafsi na zile za serikali, mfumo wa utendaji ni tofauti sana. Wakati hospitali nyingi za serikali na zahanati zake, wananchi wanaokwenda kupata huduma wengi wana "exemptions" hospitali za binafsi hawaruhusu hili, unalipia na pesa wanayopata wanairudisha tena kwenda kununua dawa hata private famasi maana pesa wanayo, wakti hospitali za serikali na vituo vyake 60% to 80% wagonjwa hawajiwezi na wanapata dawa free, unategemea dawa ziwepo?
Pia huwezi kuwapa sifa NHIF, maana pesa zao ni makato moja kwa moja toka kwa wafanyakazi wa serikali, wapende wasipende wanakatwa tu, lakini hawana cha kuwasifia, ni mfumo tu umewasaidia. Utawasifia vipi NHIF wakati unakwenda hospitali unaambiwa dawa hakuna, unakwenda famasi pia hakuna? Tatizo unaangalia NHIF ukiwa dar na si vijijini au wilayani huko ambako walimu na kada nyingine, hawana mbadala wa Famasi za hospitali.
Exemptions ni mzigo mwingine uliokaa kisiasa.Nikirudi kwa Meningitis, nadhani hujafanya utafiti wa kutosha. Huwezi ukaringanisha upatikanaji wa dawa hospitali binafsi na zile za serikali, mfumo wa utendaji ni tofauti sana. Wakati hospitali nyingi za serikali na zahanati zake, wananchi wanaokwenda kupata huduma wengi wana "exemptions" hospitali za binafsi hawaruhusu hili, unalipia na pesa wanayopata wanairudisha tena kwenda kununua dawa hata private famasi maana pesa wanayo, wakti hospitali za serikali na vituo vyake 60% to 80% wagonjwa hawajiwezi na wanapata dawa free, unategemea dawa ziwepo?
Mkuu achana na data za huko kwenu mijini. Unajua Sagara - Makopo kuna wanachama wangapi wa NHIF ? Unajua Sagara Makopo kuna wazee wangapi na watoto wangapi wanaougua kila siku?
- NHIF wanalipa vituo vya afya kwa huduma, na kusema ukweli ile pesa inge-cover over 80% ya basic clinical and commodity needs [kinachotakiwa sasa ni kusimamia hizi pesa katika level ya health facility, NHIF na wilayani]
- sijawasifia kwa kukata pesa, ile ni kazi, huwezi kusifiwa kwa kutimiza wajibu, nimesema pesa yao inaweza.... just FYI, kuna bad ring kati ya NHIF na watendaji wa mahospitali na wilaya inayoiba pesa kwa ku-over report cases na dawa (nyingine hutoka kwenye miradi mingine na zile zinazonunuliwa na mfuko wa wilaya)...
- pia kusema 60-80% wanapata dawa free ni other misinformation - check your facts
mkuu dawa ya sikio
labda niombe uwe unasoma na kuelewa kidogo tu.... context ya NHIF itabaki kuwa ya NHIF na target itakua ya wateja wake. i have worked in a rural program kwahiyo najua kwamba walio vijijini kabisa hawana NHIF lakini pia si vibaya kujua kwamba thier health seeking behavior ikoje na uwezo wao ukoje, na kwa ujumla ni dawa gani au medical supplies zipi zinatumika huko periphery, in short kuna ile pareto theory ya 80/20.... waweza wakawa 80% vijijini lakini matumizi yao yakawa madogo hivyo kuweza kufidiwa kirahisi na walio mjini: how? the policy ya nchi inarestrict aina fulani ya dawa au supplies kwenda chiya ya health center level, nk
tukija kwenye financing ya commodities, tuna NHIF, cnetral funds, council funds (combined kwenye basket au vertical) tuna donor funds, tuna other community financing na hata donations, hizi zote zaweza kuchangia kewnye mfumo
now back to MSD; kuna vitu viwili vikubwa tuangalie... kwa kwenda juu, je anapata pesa stahili kutokana na huduma yake?? hii ni ngumu kujua mojakwamoja kutokana na mfumo wa usiri wa nchi yetu hadi shida itokee na wanasias waingilie, ingawa inapingana na good governance
tukienda kwa chini, je anajua wateja wanataka nini??? kipimo ni kidogo tu... fanyeni test ya service level tena mawilayani; unachotaka vs. ulichopata, halafu categorize priority commoditeis na ujua anafikia wapi... linganisha na takwimu wanazotoa wao, mara nyingi zinatofautiana... maana yake nini?? its either hawajui wateja wanataka nini?? au wanaamua kupima utendaji wao kwa kigezo watakacho, all in all ni kosa kubwa sana.
tukirudi kenye NHIF, ni vigumu kujenga hoja iwapo hatujui kama wana direct agrement na MSD on certain supplies (they should know by now the category A and B of the health commodities used, because wanarudishiwa ripoti za matumizi ya dawa) ili kusaidia kuboresha.... binafsi naamini kabisa halmashauri zinakula tu pesa za NHIF ni kiasi kidogo labda 50% ndio inafanya kazi stahiki
there is a book to write about MSD coz similar problems zipo kwa over 10 years pamoja na mabadiliko mbalimbali ya sera, structure na watendaji..... lets have a structured discussion kwenye hii, na tuchague pa kuanzia