PENDEKEZO: Liitwe deni la mama, na sio deni la taifa

PENDEKEZO: Liitwe deni la mama, na sio deni la taifa

Mbona wakijenga hospitali wanasema MAMA AMETOA PESA. Na hilo ni deni lake.

lake kimaneno lkn mlipaji ni wewe na mimi na siyo yeye, lkn unaweza kusema ni lake kujiridhisha ingawaje haitabdalisha ukweli kwamba yeye halilipi hilo deni …
 
Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.

Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa.

Sasa ili kujenga taswira halisi na kuweka uzani sawa sawa, watu wengi wanapendekeza kuwa badala kuitwa deni la taifa basi liitwe DENI LA MAMA.
Sasa ili kujenga taswira halisi na kuweka uzani sawa sawa, watu wengi wanapendekeza kuwa badala kuitwa deni la taifa basi liitwe DENI LA MAMA💪🏿📌🔨❗
 
Basi kuanzia sasa machawa muache kusema mama ametoa pesa......na kusifu mnakosifu shenzi

bado uko mbali sana, inaelekea pengo bado ni kubwa sana hata kuelewa hata ninachomaanisha …
 
Back
Top Bottom