Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

apewe mke wa luwasa anafaa sana alizunguka nchi nzima...
 
huu uzi umeshachafuma virus aka magambaz wamevamia tiari.
 
Salim Mwalimu alafu wote wa bunge wasiwe na vyeo ktk chama
 
Hiki chama hata akipewa n'gombe wa lowassa ni sawa tu maana kinajiendea endea tu bila muelekeo. Siasa za matukio, maamuzi ya kinyumbani nyumbani.
 
Huu ndio wakati wa Chadema kujenga chama kuanzia ngazi ya chini,kipindi cha uchaguzi muda ni mdogo kufanya kampeni
 
Hiki chama hata akipewa n'gombe wa lowassa ni sawa tu maana kinajiendea endea tu bila muelekeo. Siasa za matukio, maamuzi ya kinyumbani nyumbani.

Kuna watu wapo kama nzi hawana umuhimu wowote kwa wenzao, ww ni mmoja wao
 
Hiki chama hata akipewa n'gombe wa lowassa ni sawa tu maana kinajiendea endea tu bila muelekeo. Siasa za matukio, maamuzi ya kinyumbani nyumbani.

Kinaendeshwa bila muelekeo halafu kinapata wabunge 35? siasa za matukio halafu mawaziri watano wanapigwa chini? hahaha.
Usiwe mwepesi kujisahaulisha, naamini unamkumbuja yule Tyson wabunda alisema chadema itakufa kabla ya lini tena? yeye yupo wapi? tena kapigwa KO na binti wa miaka 35, hii kweli ni noma
 
wampe Malcosy Albanie tatizo lake yeye anatokea Morogoro wenye chama sidhani kama watakubali.
angekuwa anatokea kwa kina Mbowe na mkwe wake wangemkubalia.
 
Bob Makani alikuwa mkatoliki tena anatokea machame mijitu mingine ilitakiwa izaliwe Rwanda imejaa ukabila na udini utadhani mikenya.

kama muislam na hatokei katika kanda yetu basi hatufai. Hata Salum Mwalim pale alipo ndipo kilele chake kisiasa
 
Hakuna ukanda mbaya kama wa kurithishana, kama inavyotokea Sasa ccm. Yaani eti anatoka mzazi anakuja mwana, hatari sana.
 
Back
Top Bottom