Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Bob Makani alikuwa mkatoliki tena anatokea machame mijitu mingine ilitakiwa izaliwe Rwanda imejaa ukabila na udini utadhani mikenya.
Yaani kama nilikuwa nauwezo, anayeleta ukabila na udini hapa na mpiga ban for life. au namtumia kirusi ki haribu kabisa computer au simu yake. Ila kwakuwa sina huo uwezo naishia kulaani hii tabia. na walaaniwe wote wanao endekeza udini na ukabila. Ameeeeen